Mmmmh! Urafiki huu sijauelewa!!

Huyu mbwa atakuwa ndio wale wanaofugwa dsm ..
Yaan huyu nyani jeuri sana anamfunua mdomo huku kamshika miguu
 
Hawa wanyama wanaweza kuwa na akili kubwa kubwa kuliko wazungusha mikono chini ya mnazi wakingoja embe lidondoke, ona alivyomzibiti mbwa kamshika mguu wake vizuri kisha kambinua mdomo huku akimpa ushauri wa kufanya usafi wa meno.
 
" .... ushauri wa kufanya usafi wa meno ...." [emoji1] [emoji1] [emoji1] ebwanae
 
Mbona hao nyani madentist wapo sana huku town washamba hamuwez elewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…