Mmmmh!!!!!!.......Allergy ya kutongoza wadada!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmmmh!!!!!!.......Allergy ya kutongoza wadada!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bacha, Dec 23, 2010.

 1. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kuna jamaa hajui kama anaumwa au la!yeye kila amwonapo mwanamke aliyevaa kimini au alie na makalio makubwa basi ni kosa kubwa kwani ni lazima amfate na kuanza kumtongoza!
  Haijalishi ameshapigwa vibuti vingapi kwani anadai ameshavizoea vibuti!Uwezo wa kujizuia hana pindi akiona wanawake wa dizaini hiyo!!

  Kwa siku moja anaweza pigwa vibuti 3 kwa wastani!!!

  Jamani, anauliza sasa hii ni allergy au ni nini?
   
 2. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni allerg y hiyo nafkiri,,,,,,:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  eti eeeeeh!!!!!!!
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwa siku anaweza kupigwa vbut vtatu?
  wewe dhana ya vbut unaichukuliaje?
  ukimsimamisha mdada ukamwimbisha akakukimbiza ndo kakupga kibut?
  icho si kibut apo kakataliwa na inaonekana uyo jamaa yako mwehu....
  KIBUT NI KITENDO CHA MTU MMOJA KWENYE MAHUSIANO KUMKATALIA/KUSITISHA/KUVUNJA MAHUSIANO NA MWENZA WAKE KWA SABABU MBALIMBALI....bt kumsimamisha mdada njian afu akakutalia icho si kibuti.
  we bacha nataka uyoga wangu nipike xmasss mie
   
 5. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnh bacha mie nahisi hii ni hadithi ya kufikirika zaidi:embarrassed:
   
 6. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,838
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  ni uduwanzi tu wala sio aleji
   
 7. Nyodo1

  Nyodo1 Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa inaonekana probability alisoma vizuri.....
   
 8. M

  MAO Senior Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 23, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Ana pepo wa ngono, akaombewe atapona...
   
 9. semango

  semango JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ni kuendekeza tamaa za mwili na kutokuzingatia maadili.watu wengi wa aina hii huwa ni wale walio kulia katika mazingira ya kubanwa sana.wengi wao huwa wamepitia shule za seminary.so sasa hivi kapata uhuru anakua na msukumo wa kulipiza aliyoyakosa hapo nyuma
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unajua maana ya aleji (mzio ) wewe?
   
 11. Djunior

  Djunior Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rose nimekuwa nikickia neno SHAROBALO Neno hili lina maana gani. Na mimi natamani sana kwenye ujumbe wangu niweke katuni nifundisheni jamani.
   
 12. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh labda ana hisi akiyapata makalio ataning'inia juu kama mpanda ngamia, afu ukute mtu mwenyewe mduchuu.
   
 13. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jaman waduchu ndo hawana mamlaka ya kuyamliki hayo makalio makubwa??!!
  Pls msituonee kihivyo hata sisi tuna haki hiyo ya msingi!!

   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Phewww!!!!!!!!!!
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Bacha wangu kama vile ni wewe au???? Mmmmm makalio makubwa?? Kimini?? Napata wasiwasi kabisa hapa kiukweli umenikwaza
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  hana akili huyo!mwehu!kwa mwanaume unakiona kitu unaweka malengo una fight una kula mzigo
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kweli wewe bongolala
   
 18. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  usikwazike mama, hivo ni vituko vya watu tu mitaani kwahiyo nikaamua kuvileta hapa jamvini kwaajili wadau waweze kutoa michango yao?
  mimi na wewe ni kama samaki na maji, usihofu dear!!!
   
 19. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #19
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Haya My Love nimekuelewa sweetie kama ni hivyo lakini nikisoma between lines napata kigugumizi dear!! Nihakikishie tafadhali
   
 20. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwa jinsi moyo wangu ulivyotua kwako siwezi tamka neno la kukukwaza hata kidogo
  wewe ndio barafu wangu mama!
  potezea hizo habari zingine bana DA!!!!!
   
Loading...