mmmhhh NDOA???

Kama kinachowaingiza ni watoto inabidi watu wawe wanapima kwanza!
Na ndio maana lazima mkubaliane na muwe tayari kwa lolote lile litakalotokea, Kuna mdada mmoja aliolewa baada ya kukaa kwa muda wa miaka mitatu kwenye bila mtoto ndugu wa mwanaume wakawa wanamwambia amuache yule mwanamke kwasababu hazai mwanamke akimwambia mshikaji waende hospitali kupima waone tatizo liko wapi mwanaume akawa anagoma anasema yeye hana tatizo labda yeye(mke wake) mwisho wa siku mwanaume alimuacha mwanamke ingawa mwanamke ilimuumiza sana Mungu sio athumani huyu mwanamke akapata mwanaume mwingine and the very same year akapata mimba sasa ndugu wa huyu mwanaume aliyemuacha mke wake wakabaki kupigwa butwaa.
 
Dena mmh!! acha kukatisha tamaa wenzio wanaotaka kuingia ndoani..lol......kama kweli inakero kama unavyosema (japo sikubaliani na wewe 100%)
Mbona watu wanazifanyia sherehe kuubwa na furaha sana , kweli nyuma ya hizo sherehe kubwa kunakuwa na mategemeo ya kero kweli?

Nadhani inakupasa usome katikati ya misitari uelewe nimesema NDOA INANIKERA sio INAWAKERA WATU RIGHT????
 
lizzy ,sasa nimekuelewa huu upendo wa kweli anatupa Muumba wetu tu,maana kama mtazamo ni huu maumivu hayatakwisha.HERI ALIYEMFANYA BWANA KUWA TUMAINI LAKE!



Kama kinachowaingiza ni watoto inabidi watu wawe wanapima kwanza!
 
lizzy ,sasa nimekuelewa huu upendo wa kweli anatupa Muumba wetu tu,maana kama mtazamo ni huu maumivu hayatakwisha.HERI ALIYEMFANYA BWANA KUWA TUMAINI LAKE!

Kweli kabisa mpendwa...maana ndo kama hivyo we unakubali kuolewa kwa mapenzi na ukidhani na wewe unapendwa kumbe mwenzako anataka watoto tu...au pesa zako...au sifa mtaani!
 
Natamani kuachika hapa nilipo sio siri sijui kwanini niliolewa kha NAJUTAAAAAAAAA

Khaaaa sis
unanifanya niwaze mara sita sita
Lakini mbona huyo sio wa kuleee
Kama tulivyoongea.. au hamna tofauti?
 
Ahadi hujatimiza my dear! Back to topic...sare za harusi rangi gani nidesign mshomo?

Dahhh haya bwana
Naelewa sasa kwa nini umenuna..
nway sare bado sana ikikaribia ntakudokeza
unisaidie lol
 
haya mambo hayana chakusema eti huyu hakua wangu manake huyo ulie nae sio kweli kwamba hukumpenda labda kama ulichaguliwa nawazazi sema kuna kuchokana hata kama ungepata huyo unaefikiri ulimpenda ungemchoka sema hapa tushauriane mbinu za kutokuchokana manake hata mama yako ukikaa nae sana unamchoka ila mapenzi yanakuwepo
 
Kweli kabisa mpendwa...maana ndo kama hivyo we unakubali kuolewa kwa mapenzi na ukidhani na wewe unapendwa kumbe mwenzako anataka watoto tu...au pesa zako...au sifa mtaani!

Sante my dear
nahii ndo kitu inayo tikisa maini..

Sasa acha kununa
Tuingie chumbani
damu ni nzito kuliko maji hahahahahahahah lol
Kukimbiana hatuwezi hii ndo shida ya kuwa na ndugu
Yako JF.. mmmmhhhh
Ingia kule tukasameheane
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom