mmmhhh NDOA???

Ni kweli, maana kuna siku nilimuuliza babu yangu ni kitu gani kilimfanya amuoe bibi yangu? alinijibu kama ifuatavyo.

"Usimuone hivyo huyo bibi yako akiwa kijana alikuwa analima sana, alikuwa ana uwezo wa kushinda shambani mchana kutwa sasa kwasababu mimi nilikuwa na Shamba kubwa niliona atanifaa"

Daaahh hii
Kweli ndo funga kazi
Sante dear..
 
It is always to acknowledge a mistake pale mtu unapokuwa umemkosea mwenzi wako mfano "NAOMBA UNISAMEHE MKE WANGU SAMAHANI KWA KUKUKOSEA", au "NAOMBA UNISAMEHE MUME WANGU SAMAHANI KWA KUKUKOSEA" hii huwa inaepusha mambo mengine na kama mtu sio wale wa kuweka vinyongo ambao baadae unaweza kufanya kitu kidogo akaanza kusema "Si unakumba kosa la siku ile halafu nikakusamehe" watu wa aina hii daima sio wazuri maana anakuwa hajakusamehe anakuwekea kinyongo anasubiri siku ukifanya kosa dogo akukumbushie yale ya zamani.

Eti umeoa au uliwahi kuoa..
Dahhhh nakuvulia nani liiii........
mmmmhhhh
 
Kuoa/kuolewa ni moja ya justification ya selfishness ya mwanadamu...........huyu wangu, wangu peke yangu...just selfishness basi


ha ha ha ah ah ahaaaa mkuu wewe ni noma bana lolz
 
Waheshimiwa
Na wataalum wote
wa mambo ya mahusiano,mapenzi na urafiki

naombakuuliza ni nini au ni kitu gani
Kinacho mfanya mtu kuoa au kuolewe?
Je ndoa zote ni matokeo ya upendo wa hali ya juu??

Ni hayoo tu
Ps. ..maoni yote yana karibishwa
asanteni

AD

kwa mimi ninavyofikiri, ndoa ni njia aliyoiweka Mungu, kwa wapenzi kuhalalisha mahusiano yao.
Hivyo basi, hao wanandoa ni lazima wawajibike (wawe responsible) na maamuzi yao.
Labda tujiulize UPENDO ni nini kwenye masuala ya ndoa?

Mie nafikiri Upendo ni kitu ambacho kinakua (grow)! Kuna ndoa nyingi tu, wanandoa wanazidi kupendana kadiri miaka inavyozidi kwenda, kwa sababu wanaanza kugundua wajibu wao kwenye ndoa, na pia kumuelewa partner wake.

Wengi siku hizi wanaingia kwenye ndoa bila kujua wajibu (responsibilities) wao wanapokuwa kwenye ndoa. Yaani ndoa inaendeshwa kwa hisia (feelings) zaidi kuliko reality, na hii ni mbaya sana, kwa sababu hizo feelings zikupungia, na ndoa iko hatari.

Kwa hiyo msingi wa ndoa upo kwenye kuwajibika kwa mwanandoa kwa mwingine..Kama hujui uwajibikaje ni bora ujifunze ndio uende huko. Pia ikumbukwe kuwa watu hatufanani,hivyo huwezi ku-kopi na ku-pesti mapenzi yako uliyokuwa unampa fulani, ukafikiri yatakuwa sawa kwa mtu mwingine.

Kikubwa pia ni kumshirikisha Mungu. wakati ukifika, utaona tu mambo yanaenda sawa, wala hautumii nguvu nyingi kuingia kwenye ndoa. Ndoa haitakiwi kulazimishwa sana kama mtu hayuko tayari kuwajibika
 
Waheshimiwa
Na wataalum wote
wa mambo ya mahusiano,mapenzi na urafiki

naombakuuliza ni nini au ni kitu gani
Kinacho mfanya mtu kuoa au kuolewe?
Je ndoa zote ni matokeo ya upendo wa hali ya juu??

Ni hayoo tu
Ps. ..maoni yote yana karibishwa
asanteni

AD

watu wanaoa na kuolewa kwa sababu tofauti tofauti.
Wengine umri, wengine mazingira, sababu za kifamilia etc.
 
Back
Top Bottom