Ally Ngowo
Member
- Feb 24, 2015
- 86
- 19
Sio kwenye gari tu, gharama ya matunzo ya mbwa wa ulaya kwa siku ni kubwa kuliko ya mtanzania wa kawaida.Unaagiza gari kutoka Ulaya au Japan unatamba nalo mtaani, kumbe MBWA alikuwa analitumia
Kimfuko kidogo tu cha mlo wa mbwa dola 30 + tax. Mbwa anakuwa treated kama memba wa familia na akiugua familia iko tayari hata kwenda kuchukua mkopo benki kwa ajili ya operesheni. Yes, mbwa wa Ulaya ana maisha mazuri kuliko Mbongo wa kawaida!Sio kwenye gari tu, gharama ya matunzo ya mbwa wa ulaya kwa siku ni kubwa kuliko ya mtanzania wa kawaida.