Mmmh ya mkeka nini?

Mmmh ya mkeka nini?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1412136130107.jpg
 
hahahaha!!!!

amezoea kuigiza hata hapo atakuwa anazani wana mshooot!!!
 
mzee ameshaacha hiyo nyumba ndogo....
 
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa,mbona huyo mwnaume kama mzee majuto

Ni yeye mkuu, alioa Dar bila kibali cha mke mkubwa kakaa naye sidhani kama miezi sita ilifika, mke mkubwa kustuka majuto katia tim kwa nyumba kubwa kakauka kama sio yeye, ilitoka ktk magazeti ya udaku.
 
Duu sanaaa mpakaa kwenye ndoa?
 
Back
Top Bottom