NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,965
mkuu MIVURUGO ni midubwasha fulani imechanganywa uchafu unao ujua na usio ujua UNAKOROGWA kisha WANAJIVURUGAHahaha dah mivurugo ndo mi nn
MWILINI KWA LENGO LA KUWA WEUPE
mkuu MIVURUGO ni midubwasha fulani imechanganywa uchafu unao ujua na usio ujua UNAKOROGWA kisha WANAJIVURUGAHahaha dah mivurugo ndo mi nn
sio kwamba tunakosoa uumbaji, hatujuani tu kwasababu kila mtu yupo nyuma ya screen, mimi ni mweusii kama mjaluo, nioe mwanamke mweusi tena si afadhali nichanganye kidogo ndugu? ndio ilikuwa lengo la hiyo point.Amezidi weusi??? Kwani hiyo rangi nyeusi ya ngozi yake amejipaka mwenyewe mpaka wewe useme "amezidi weusi"?
Nimekuelewa mkuu, ndio maana niliuliza ili nipate ufafanuzi.sio kwamba tunakosoa uumbaji, hatujuani tu kwasababu kila mtu yupo nyuma ya screen, mimi ni mweusii kama mjaluo, nioe mwanamke mweusi tena si afadhali nichanganye kidogo ndugu? ndio ilikuwa lengo la hiyo point.
mkuu haileti maana kujidanganya eti wee LAMI halafu uoe wa MIVURUGO ILI UPATE MTOTO MWEUPE UTALEA WA JIRAN BURE MKUUsio kwamba tunakosoa uumbaji, hatujuani tu kwasababu kila mtu yupo nyuma ya screen, mimi ni mweusii kama mjaluo, nioe mwanamke mweusi tena si afadhali nichanganye kidogo ndugu? ndio ilikuwa lengo la hiyo point.
Black is beauty..