Mmiliki wa Regency Hotel afiwa na mwanae..!

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,944
1,500
Wakuu yule mfanyabiashara mkubwa na mmiliki wa hotel ya regency ya mikocheni amefiwa na first born wake. Msiba upo nyumbani kwake mikocheni. Pole kwa wanafamilia.
 

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
Poleni wafiwa ila kwa mtoto huyo tusingemwandika labda ingelikuwa yeye mwenyewe
 

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,944
1,500
Poleni wafiwa ila kwa mtoto huyo tusingemwandika labda ingelikuwa yeye mwenyewe
...mkuu raymond anamarafiki wengi so si vibaya tukawajuza kupitia jukwaa la jamii,yaani jf...
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,969
2,000
Juzi juzi nikiwa hapo, alikuja kijana mmoja tall mweusi mhudumu akasema ndio mtoto wa boss ametoka marekani, pale bar ndio ameweka ile ipad inapiga muziki, hakuna mbadilishaji mpaka mwenyewe awepo, hivyo ukiwepo pale mwenyewe hayupo, mtapigiwa nyimbo za ajabu ajabu mpaka mtakoma!.

Rip Flora.
Pasco.
 

Fasouls

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
940
500
Mtu ni kitu ndugu Yangu ..!!
Pole
Unataka kujifananisha Na Rey ama Alex massawe...!!!

I guess may be they would advertise themselves I wonder why separate individuals who even not blooded drag themselves into this what do they get by then?
 

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,441
1,250
Utumwa wa luga ungeniliuliza na maanisha nini ningekuelewa tu!

Haya kama umeelewa nijibu basi! halafu naomba pia ufafanuzi wa maneno mawili hapo juu kama hutajali, hicho ni kiswahili au?

Jamani sio dhambi kutumia lugha za kigeni, hata sioni kilichokuudhi ni nini, mimi naitumia kwa sababu napenda kujifunza kizungu, kuna watu wanaongea lugha zaidi ya tatu au nne n.k. wachina wanajifunza kiswahili.

Jifunze lugha usiogope kibo, ni added advantage kujua lugha zaidi ya kikwenu na kiswahili ambacho nacho bado kinakusumbua.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom