Mmiliki wa Regency Hotel afiwa na mwanae..!

Mmiliki wa Regency Hotel afiwa na mwanae..!

Hivi anayetafutwa na interpol ni yupi kati yao
 
.,anaitwa raymond rafiki mkubwa wa alex massawe,mtoto aliyefariki anaitwa flora,ni binti wa 24yrs kama sikosei...

Ukishakuwa na urafiki na Alex Massawe basi na wewe ni JAmbazi tu. Haki na Batil hazikai pamoja

by the way,,Pole bwana Ray Mungu amuweke mahali anapostahiki.
 
Ndo yule Ray wa regency hotel?aliandikwa sana enzi za ZE UTAMU,RIP mtoto wa Ray,nasikia Ray kajaaliwa
 
Kufa kufa tu uwe tajiri au maskini mi sioni mantiki ya tukio hilo kuwepo humu. Vp mleta mada hukuwa na kitu cha kupost?
 
.,anaitwa raymond rafiki mkubwa wa alex massawe,mtoto aliyefariki anaitwa flora,ni binti wa 24yrs kama sikosei...

uyo alex massawe c ndo yule mchagga former jambazi,,anayechechemea kwa jeraha la risasi alilopigwa in 90s wakati akiwa mzigoni kuchukua visivyo vyake
 
Back
Top Bottom