Mmiliki wa Lushanga Bus Services Limited afariki Dunia

Mmiliki wa Lushanga Bus Services Limited afariki Dunia

Again you are missing the point.., hivi magome ya miti yanaleta joto kama nguo za kisasa ? Faida ya kuvaa magome ya miti ni nini ?, Mimi naweza nikakupa sababu kumi au zaidi ya kuendesha baiskeli kuliko kuendesha gari, mazingira, view na kufanya mazoezi ikiwa ni sababu moja wapo..


Hivi huyu mzee alikuwa ni mkulima na amekataa kutumia tractor akatumia jembe la mkono ?, tractor linarahisisha kazi na hakuna faida ya kutumia jembe la mkono ambalo ni inefficient, hivi mfano mimi sipendi kuangalia TV wala movies, Je TV itakuwa ni basic need kwangu, na kutokuwa na TV takuwa nimejinyima au ni uamuzi wa kuishi na vitu ninavyopenda..?


Kwa matazamo wako huyu mzee alikuwa anaishi kama Matonya lakini labda kwa mtizamo wake alikuwa anaishi simple life anayopenda yeye., furaha / needs zako sio sawa na za kila mtu, mwingine hivyo vitu ni karaha na inconviniences...

Kaka majeshi poleni sana na msiba mungu awatie nguvu
 
Yana ukweli haya mkuu...?

Mkuu wangu haya ni ukweli kabisa. Jamaa aligeuka tembo na watu walikimbia wodini ikiwemo wagonjwa waliokuwa ahueni. Yeye aliendelea kukimbia akiwa temba tayari na hakuonekana tena maisha milele hadi leo.
 
Back
Top Bottom