Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,482
- 11,690
makada wanaomiliki chopa chadema wapo,hizo tatu zinazotumika ni za mbunge wangu ndesapesa alikuwa anatusaidia pia sisi wapiga kura wake kutupeleka loliondo kwenye tiba.....chadema ina wafadhili wengi,ccm mfisadi kibao na mizigo mingi na vihiyo kama saada mkuya chakula ya mzeejaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia cdm. Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi
tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala
Mmiliki ni CHIFU KIUMBE nenda kawaambie Magamba wenzako!Jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia CHADEMA.
Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.
Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.
Hizo chopa ni za mbunge wa moshi mjini Ndesamburo, na anazo 5.Jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia CHADEMA.
Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.
Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.
Kwa taarifa za kuaminika kutoka chanzo ambacho nitakiweka hapa baadae ni kuwa Chopa hizi ni kuwa wapenzi matajiri/wafurukutwa na mashabiki wa ukweli wa CDM ndani nchi(4) Majiji ya Mbeya, arusha,mwana na dsm na vyama rafiki (2) afrika magharibi -Ghana (1) na Ujerumani (1) wamejitoa kwa moyo mweupe kuchangia kiasi kizuri tu cha pesa(Sitataja kwa sasa).Na kwa hakika kabisa kuwa hii ni rasharasha tu.Mchakamchaka huu ni hadi 31.10.205. Tutaendele a kujuzana