Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
Ukuuuuti ukuuuuuti. ..wa naziiii
Kitambaa changu cheupe kina madoa meupe
cha heshima kwa wote
na dada Canta pinduka teh
na tena pinduka teh
Kitambaa changu cheupe kina madoa meupe
cha heshima kwa wote
na dada Canta pinduka teh
na tena pinduka teh
...yai bovu yai bovu...
linanuka linanuka...x2
.....nimesahau mwendelezo wake...siku mingi atii!
daaah umenikumbusha mbali saaaaaaaaanaNasaka mke wangu nasaka mke wangu
hapa hayupo hapa hayupo
kaenda wapi kaenda wapi
kaenda kusuka kaenda kusuka
kachukua nini na nini
kachukua mafuta na kichanuo
huu mti gani wa mchongoma
ukiukata, haukatiki
ukiuuma, hauumiki
khah!
Hz nyimbo nyingine bwana, eti "kasimama peke yake, amemuona mchumba wake". Katoka mr nice na nyimbo za watoto, asa hv 2tackia nyimbo za maua mazuri yapendeza, me ntatoa yangu ya "mabata madogo madogo, yanaogelea".
ndo unavojidanganya? Huo wa mabata madogo madogo umeutunga wewe?