Umenena mkuu maana hata huyo mwenye hati milki ya huyo bidada utakuta anatoka na wengine tena, haya mambo yanahitaji busara sana maana wanaume jinsi tulivyo unakuta mrembo unamsotea ila ukimpata tu ukamchojoa jicho linamzoea na kumwona wa kawaida (au sijui ndio theory of marginal utility ina apply na kwenye hili "the more you consume, the less utility you get"