Mmh jamani mke wangu ...

Mmh jamani mke wangu ...

Kumbe mke wako ni bonge alafu ni kitumbo pakachaaaa mkuu vumilia kumbuka mlivoapa cku ya harusi yenu
 
Mwambie anywe maji ya moto yenye ndim nyingi asubuhi na jion kwa mwezi mzima utaniambia
 
Mmmmh ...! Justified
Unene in any case sio dili? Unene ni uvivu, unene sio smart, ni uzembe, ni ugonjwa na hatima yake unaharakisha kifo. Lakini pia hamtendei haki mme anayependa kmobitel, she belong to him, she has to make him happy

kwanza naomba nikupinge kwa gerufi kubwa sana, unene sio uvivu, manake wapo watu wanene na wanachapa kazi kuliko kawaida, smartness haitegemei mtu mnene ama mwembamba kuna watu wembaba hawajui hata jins ya kuoga achilia mbali kuvaa, ingawa mtu mnene akiwa mchafu ataonekana zaid kuliko mtu mwembaba. sio mara zote unene ni ugonjwa manake je yule mwembamba kwasababu ya HIV, ama kisukari ama ugonjwa wa moyo utasema ni afya njema?? sio kweli kwamba unene unaharakisha kifo manake watu wangap[i wembamba wanakufa mapema??

istoshe kama mume alipenda kishtobe basi hakumpenda yeye manake akizeeka atamkimbia kwasababu kazeeka.

jambo la msingi ni hili kwamba kila mtu ajiweke mkakamavu katika umbo ambalo Mungu kamjalia. wapo watu ambao ni wembamba kwasababu ya stage tu ila wakifika umri fulan lazima watanenepa....kimsingi wanatakiwa tu kukazana mazoez na si kukimbiza unene ila kuuweka sawa yaani awe fit wazungu wanasema.

ukioa mke kwasababu ya uzuri wa nje ni majanga matupu....na achen kujustfy mambo yasokuwapo
 
ni mchaga? hivi wajua akienda krismass akiwa amekonda home hawamuelewi....muache apate nyama ndio neema za mungu hizo....
 
weka utaratibu mfanye pamoja mazoezi kama ikishindikana hilo basi mwache tu ajiachie
 
Mwalimu salam!
Ni kweli kwamba mwenzi wako akibadilika sana, hasa kwenda upande usiopenda inakua kero!!!
Ni vizuri huyu bwana anajaribu kueleza hisia zake...hapendi wanene! Ni wajibu wa mke kujitahidi asiwe kero. Hii hata kwa wanaume!!! Mwanaume hawezi kuwa na mnene wa kupitiliza kama kepteni mustachi na bado akamvutia mke! (labda kwa wachache wanaopenda vitambi vikubwa)...

naskitika kwamba ulipenda kibasmati na wala hukumpenda mke
 
apige sana mazoezi gym kuhusike sana yan mambo yatakuwa pouwaaaa endelea kumpenda mkeo
 
huyo naye anajiendekeza tu, kupungua inawezekana na ni very simple..mimi nilipojifungua mtt wang wa mwisho niliongezeka hadi kg 89 lkn sasa nina kg 68..
ni kuacha tu misosi ya kirejareja..
 
kwanza naomba nikupinge kwa gerufi kubwa sana, unene sio uvivu, manake wapo watu wanene na wanachapa kazi kuliko kawaida, smartness haitegemei mtu mnene ama mwembamba kuna watu wembaba hawajui hata jins ya kuoga achilia mbali kuvaa, ingawa mtu mnene akiwa mchafu ataonekana zaid kuliko mtu mwembaba. sio mara zote unene ni ugonjwa manake je yule mwembamba kwasababu ya HIV, ama kisukari ama ugonjwa wa moyo utasema ni afya njema?? sio kweli kwamba unene unaharakisha kifo manake watu wangap[i wembamba wanakufa mapema??

istoshe kama mume alipenda kishtobe basi hakumpenda yeye manake akizeeka atamkimbia kwasababu kazeeka.

jambo la msingi ni hili kwamba kila mtu ajiweke mkakamavu katika umbo ambalo Mungu kamjalia. wapo watu ambao ni wembamba kwasababu ya stage tu ila wakifika umri fulan lazima watanenepa....kimsingi wanatakiwa tu kukazana mazoez na si kukimbiza unene ila kuuweka sawa yaani awe fit wazungu wanasema.

ukioa mke kwasababu ya uzuri wa nje ni majanga matupu....na achen kujustfy mambo yasokuwapo

Nikisema smart si maanishi usafi wa mwili, SMART may be niiweke kwa herufi kubwa... Mtu ambaye anajitambua, Kwa karne hii nitakushangaa sana unapoendelea kushadadia unene. Zamani watu wenye vitambi ndio walikuwa wanashobokewa, Laymen wana associate unene na mtu mwenye pesa lakini sio leo

Uzembe niaomaanisha sio wa kufanya kazi Ni Uzembe-Reckless, carelessness. May be kwa utafiti wako utakanusha kuwa unene hauna uhususiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo, sukari nk nk

Mume alimpenda the way alivyokuwa angekuwa anataka bonge nyaya kama wewe asinge enda kwake.
 
Unatuletea mambo ya mke wako hapa. Please JF, watu kama hawa ambao hawana sera don't give them space. Leta hoja za mshiko kama Escrow, Simba na Yanga, mengi na Muhungo, Dar na Foleni za Magari, etc etc. Haya ya wewe mko kunenepa nenda kwa Nutritionist akashauri.
 
Wewe shida yako nini kama ile huduma yetu ya kiutu uzima inapatikana? Hayo mambo ya kupenda vimodo waachie vijana umeshakuwa mtu mzima sasa.
 
Back
Top Bottom