Mmh jamani mke wangu ...

Mmh jamani mke wangu ...

Habari wana bodi.

Natumai hamjambo?

Naomba munisaidie mi nimeowa toka mwaka 2007 mke wangu alikua mwembamba ( kibasmati ) yaaani sio siri nampenda hadi kesho tatizo ni kua baada ya kujifungua mtoto wa kwanza mwaka 2009 alinenepa kiasi sikichukia sana ila nilimuambia sipendi awe mnene mambo yamezidi mara kumi alipojifungua mtoto wa 2 kawa kibonge mbuno huo tumbo limeengezeka balaa yaani hadi sijui nimfanyeje?

Mwanzoni nilikua nampangia malaji na naibana bajeti ya kula wakati tuko na mtoto 1 tena mchanga ila siku hizi siwezi maana nikibana bajeti nitaumiza watoto.

Nimemueleza kua ajipangie utaratibu na mpangilio wa vyakula lakini wapi hanielewi anaishia kuniambia kua hata alipokua mdogo alikua mnene sana alipungua alipokua mwari.

Mi kwa kweli sipendi mwanamke mnene nifanyeje?
naamini mkeo unamfahamu mpaka uwezo wake wa kuvumilia, hivyo nakushauri uaplai stress zilizo ndani ya uwezo wake usije kupitiliza ukamdifomu plastically.
 
Back
Top Bottom