Mmh jamani mke wangu ...

Mmh jamani mke wangu ...

MFUNGULIE BIASHARA ISIYOTOKA SANA KAMA KUUZA BATIKI KISHA MSHAURI/MSHAWISHI AKAKOPE "FINCA" WITHIN 6 MONTH UNENE KWISHA :bange: alternative remedy master
 
Mwambie uo mwili uupendi so afanye juu chini apungue, ata kama asiporudia mwili wa awali.
 
Pole sana kwa kupenda muonekano kuliko kumpenda yeye kama yeye zaidi,mwili wa mwanadamu ni maua kuna kuchanua na kunyauka pia.
 
Unatuletea mambo ya mke wako hapa. Please JF, watu kama hawa ambao hawana sera don't give them space. Leta hoja za mshiko kama Escrow, Simba na Yanga, mengi na Muhungo, Dar na Foleni za Magari, etc etc. Haya ya wewe mko kunenepa nenda kwa Nutritionist akashauri.

Inawezekana ukawa hauko saw a, mwenzio kaomba ushauri JF hutaki kumshauri pita Iviii.. cio lazma kla mada u comment ww JF ni kwaajl ya kla m2 cio ww peke ako, yeye hlo ni tatzo lake unataka alete tatzo licilokuwa lake? Eti foleni jijin Dar we umejuaje kuwa mleta mada ni mwathrika wa hlo? Eti simba na yanga!!! Kama cio mshabk wa mpira je? Na kwann izo mada ww ucizianzshie Uzi kama unaona ni tatzo???
 
Sasa kama hutaki mwanamke mnene, si ukaoe mwembamba? Au wanawake wembamba wameisha? Usiumize kichwa while solution unayo
Na huyo mwembamba nae akinenepa atakuwa anafanya kazi ya kuoa kila mara eti?
 
basi fanyeni exchange

Mi nashangaa sana hao wanaomshangaa mleta mada, hamjui kuwa watu tunatofautiana? Acheni kuwa wanafki eti hakupenda mke alipenda muonekano, we unaweza kumpenda m2 bla ku admire muonekano wake wa nje? Uncivilized wanaamini mwanamke akizaa lazma anenepeane ovyo! Huku kwngne ni kujiendekeza na kujisahau ndio maana ndoa znachuja xana kwasababu vtu vlivyokuwapo mwanzo their no longer exist, hapo tutarajie nin? Ila issue hapa ci suala la kusema akiwa mzee cjui nini na nini, uzee upo 2 hauzuiliki!
 
Habari wana bodi.

Natumai hamjambo?

Naomba munisaidie mi nimeowa toka mwaka 2007 mke wangu alikua mwembamba ( kibasmati ) yaaani sio siri nampenda hadi kesho tatizo ni kua baada ya kujifungua mtoto wa kwanza mwaka 2009 alinenepa kiasi sikichukia sana ila nilimuambia sipendi awe mnene mambo yamezidi mara kumi alipojifungua mtoto wa 2 kawa kibonge mbuno huo tumbo limeengezeka balaa yaani hadi sijui nimfanyeje?

Mwanzoni nilikua nampangia malaji na naibana bajeti ya kula wakati tuko na mtoto 1 tena mchanga ila siku hizi siwezi maana nikibana bajeti nitaumiza watoto.

Nimemueleza kua ajipangie utaratibu na mpangilio wa vyakula lakini wapi hanielewi anaishia kuniambia kua hata alipokua mdogo alikua mnene sana alipungua alipokua mwari.

Mi kwa kweli sipendi mwanamke mnene nifanyeje?


Mkuu we ndio m/ume atakushindaje mkeo?
 
Na huyo mwembamba nae akinenepa atakuwa anafanya kazi ya kuoa kila mara eti?
Yeah, mbona jibu liko wazi sana maana kama huwezi kumkontrol au kujikontrooo mwenyewe, unakuja na kutujazia server hapa unategemea nini??? Oa
 
Garbage In Garbage Out......... huwezi kuja kutuambia eti mkeo kanenepa humpendi tena, si udhalilishaji huu? au unakubaliana na hoja yake??
Ye hajaleta kama kumdhalilisha, kaleta kuomba ushauri ili mkewe apungue.
 
Ulipenda shep hujampenda mke unavyoonekana
 
Nadhani kila mtu huvutiwa na kitu chake kwa mvulana ama msichana huwezi ww kuoa/kuolewa na mtu usiempenda alimuradi nawe uonekane uko katika ndoa . Ujuwe mtaishi bila ya mapenzi na ndoa itavunjika na mtu humpenda mtu kwa muonekano wake nami nimempenda vile alivyo kua mwanzo na sio hivi kwa kua wanawake wengi hawazingatii haya ndio ikawa wanaume wanachepuka sana na kujenga nyumba ndogo kama utapeleleza wana ndoa wengi ndio wanaosaliti ndoa zao kuliko wapenzi

Sent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app
 
Habari wana bodi.

Natumai hamjambo?

Naomba munisaidie mi nimeowa toka mwaka 2007 mke wangu alikua mwembamba ( kibasmati ) yaaani sio siri nampenda hadi kesho tatizo ni kua baada ya kujifungua mtoto wa kwanza mwaka 2009 alinenepa kiasi sikichukia sana ila nilimuambia sipendi awe mnene mambo yamezidi mara kumi alipojifungua mtoto wa 2 kawa kibonge mbuno huo tumbo limeengezeka balaa yaani hadi sijui nimfanyeje?

Mwanzoni nilikua nampangia malaji na naibana bajeti ya kula wakati tuko na mtoto 1 tena mchanga ila siku hizi siwezi maana nikibana bajeti nitaumiza watoto.

Nimemueleza kua ajipangie utaratibu na mpangilio wa vyakula lakini wapi hanielewi anaishia kuniambia kua hata alipokua mdogo alikua mnene sana alipungua alipokua mwari.

Mi kwa kweli sipendi mwanamke mnene nifanyeje?

Hongera sana kwa kumpenda mke wako,mfanyishe mazoezi asubuhi na jioni mkiwa na muda na nafasi,anywe maji ya uvuguvugu yaliyokamuliwa kipande cha limao na apunguze kula vyakula vyenye mafuta mengi...hahaha mimi niko tofauti coz napenda wanene,
 
kweli twatofautiana, wakati mimi napenda mitipwatipwa wengine vimbaumbau dah napenda vibonge mimi jamani yaani wee acha!!!!
 
Mshauri aende gym,mazoezi ni mazuri,ila kama hana kichanga,kama ana kichanga kikifika mwaka aanze gym,atarudi kawaida,na kawaida mwanamke akijifungua anaongezeka coz lazima ale ili mtt apate maziwa!
 
Mwalimu salam!
Ni kweli kwamba mwenzi wako akibadilika sana, hasa kwenda upande usiopenda inakua kero!!!
Ni vizuri huyu bwana anajaribu kueleza hisia zake...hapendi wanene! Ni wajibu wa mke kujitahidi asiwe kero. Hii hata kwa wanaume!!! Mwanaume hawezi kuwa na mnene wa kupitiliza kama kepteni mustachi na bado akamvutia mke! (labda kwa wachache wanaopenda vitambi vikubwa)...
unajua kuna jambo ambalo hatulielewi nalo ni je unene wa mtu huyu unasababishwa na nini?? kuna watu genetically ni wanene hata kama ni mwembamba leo lkn atakuja kunenepa tu sasa inamaana akinenepa ndo upendo umeisha??

mie huwa siafiki mtu kumpenda mtu kwa sabb ya physical appearance ingawa bdicho kinachoonekana mara ya kwanza machoni, lkn sasa hadi amekuzalia watoto 2 inatosha kuongea nae kwa upendo na kumuelekeza na kama ni mnene by nature basi swing accordingly
 
Back
Top Bottom