Mmeanzisha Vita na Vatican

Mimi nashangaa sana hivi hili libibi manyonyo makubwa imekuaje kuaje mpaka leo bado liko hapo? Wanaume watanganyika hawaoni anaharibu nchi taka taka huyu?
πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu una vita na Big boobs
 
Hapa mlipofika ni pabaya. Mmeanzisha vita na Vatican, kanisa na wakatoliki na madhehebu ya kikristu na waislamu wenye napenzi mema na nchi
Hamna vita yoyote hapo iliyoanzishwa.....
 
Hapa mlipofika ni pabaya. Mmeanzisha vita na Vatican, kanisa na wakatoliki na madhehebu ya kikristu na waislamu wenye napenzi mema na nchi
Tatizo mshauri wake ni Sheikh Mwaipopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…