mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Haya mnaodai mume wa MTU chachandu anzeni kutia MAJI!
Ashitakiwe yeye kwanza!Wamemuonea tu... huyu aliyemfanya hivi anatakiwa kushtakiwa...
Whichi poizoni is zisi.....,polonium.....acid o wat......?...Leti mi pasonale cheki zis klozli.........
Huyu aliyemfanya hivi ni muuaji,hafai kuishi na mume cose kuna ck atamfanya hv
Si dhana potofu! Mke wa MTU sumu, pia baada ya wanawake kujitambua mume wa MTU ni sumu pia ni dhana ya kweli na imethibitishwa katika uzoefu wa jamii!Kwa vyovyote vile hii ni jinai na hamna namna yoyote ya kuhalalisha! Naona hii dhana potofu ya kwamba mume/mke wa mtu sumu inawafanya wengi kuunga mkono vitendo vya kijinai kama hivi. Huyo mwanamume ni mtu mzima na aliamua kwa hiari yake kukosa uaminifu kwa mwenzi wake wa ndoa! Yanapotokea mambo ya ukosefu wa uaminifu, tafadhali wekaneni sawa na wenzi wenu ambao ndio mlifunga maagano/kupeana ahadi za uaminifu! Kwenda kumshambulia "third party", sio sahihi!
Basi na mkeo naye aolewe kabisa Nyumba ndogo tuone!kwa hasira ndio nitamuoa kabisaaà na kwa gharama yoyote nitahakikisha naitengeneza upya sura yake. Mimi kutembea nje ya ndoa sio chanzo cha wewe kuwa katili na muuaji, ukatili na uuaji ni hulka ya mtu, wivu Wa mapenzi ni kisingizio tu
Ashitakiwe yeye kwanza!
Si dhana potofu! Mke wa MTU sumu, pia baada ya wanawake kujitambua mume wa MTU ni sumu pia ni dhana ya kweli na imethibitishwa katika uzoefu wa jamii!
Kama unabisha endelea kuchovya chovya asali za watu na kuna siku arobaini zako zitatimia!
Labda nisipone ila kisasi chake dunia mbona itasikiateh kabla hajanichuna hivo yeye atakua maiti..mume wa mtu anachata?
Huyo unayemwita "third party" ndiye anayepaswa kujihadhari! Maana ni MTU mzima na anajua anachokifanya hakipaswi! Wanawake hufikia hata hatua ya kwenda kwa waganga wa Kienyeji ili wawateke waume za watu!Sitetei wala kuhalalisha kutembea na mke/mume wa mtu! Hoja yangu imekita kwenye swala la wanandoa ku deal na "third part"!!! Pamoja na kwamba huyo "third part" anaweza naye kuwa "victim" ama kwa kurubuniwa ama kwa kulaghaiwa, ila hoja ni kwamba yule mwanandoa aliahidi uaminifu kwa mwenzi wake! Anapokosa uaminifu, aliyekosewa uaminifu achukue hatua dhidi yake kwani waliahidiana!!!!
At the same time Mke wa mtu ni fresh milk yata dilute hiyo poison hakuna tatizo, huyo ali jisahau tu ika mkuta ajali.Whichi poizoni is zisi.....,polonium.....acid o wat......?...Leti mi pasonale cheki zis klozli.........