Mme wa mtu poison

Wamemuonea tu... huyu aliyemfanya hivi anatakiwa kushtakiwa...
 
hahah hamna bana kujitetea muhimu..huyo dada ingebidi apambane na yeye si ajabu alitulia haya ona sura ilivyobomolewa kama imepitiwa na greda.. chaaaaa
Hahahahaa cuzoo umenichekeshaje?
 
Yaan hapo huyo mwanaume ndo atazidi mpenda mana ataona dada kaka kichapo kwa ajili yake,so dada huyo ni kama mwokozi wake...imagine mtu aumizwe kwa ajili ya kukupenda wewe du ungejickiaje?ha ha ha nawaza kwa sauti
 
Hata sijui nimeichota fesibuku nasikia eti alipona lakini ndio hivyo tena kama unavyomuona
Kakomeshwa hawa vimadaa wa najifanyaga ndo wamiliki kuliko wenye waume zao....nami namcheshia dawa yake... Mtaipata 2 anaitwa Tumainisia...............
 
Kakomeshwa hawa vimadaa wa najifanyaga ndo wamiliki kuliko wenye waume zao....nami namcheshia dawa yake... Mtaipata 2 anaitwa Tumainisia...............
Duuu jamiha nione kwa ushauri kama uko serious na hili unalotaka kulifanya
 
Mimi nina mchepuko ambao haujui kama ni mume wa mtu, mke akiufanyia haya huoni kama si haki?
 
Mpaka hapo tu hata kabla ya mengine si haki kumficha
Sizungumzii haki yangu mume, nazungumzia haki ya huyo dada anayejeruhiwa huku akiwa hajui kama aliye naye ni mume wa mtu. Point yangu ni kwamba, kwa nini huyo mke asideal na mume wake, badala yske anadeal na third part?
 
Nikwambie ni wachache ambao huwa wanakua hawajui....wengi wanajua na wanakua na viburii hao balaaa MTU anaishi Nyumba ya Pili toka kwa wenyewe utasemaje hajui......wanajua vizuriiii.
 
Sizungumzii haki yangu mume, nazungumzia haki ya huyo dada anayejeruhiwa huku akiwa hajui kama aliye naye ni mume wa mtu. Point yangu ni kwamba, kwa nini huyo mke asideal na mume wake, badala yske anadeal na third part?
Hapo sawa lakini wengine ni jirani au rafiki wa karibu
 
Naulizia tena ile sheria ya makosa ya kimtandao vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…