teh kabla hajanichuna hivo yeye atakua maiti..mume wa mtu anachata?Vipi, mbona una wasiwasi....na wewe unachepuka na mume wa mtu....shauri lako....utachunwa mkorogo wako na kupasuliwa Zaidi ya huyo dada.
Simo...mi ni kijumbe tuuHiyo ni jinai Mshana. Besides, mapenzi ni maridhiano. Alipaswa amchane mume wake. Kuoa sio adhabu. Kuchepuka ni haki ya kila mtu (havujnji sheria yoyote). Sasa watachepuka na nini kama sio mke au mwanamke wa mtu? Msitutishe wakuu
sumu ya panyaAnthrax
kweli kabisa yan weka mbali na watotoWake za watu ni POLONIUM pia!!
njoo ujaribu kwa my wife nikufundishe kitu bila ghalamaHiyo ni jinai Mshana. Besides, mapenzi ni maridhiano. Alipaswa amchane mume wake. Kuoa sio adhabu. Kuchepuka ni haki ya kila mtu (havujnji sheria yoyote). Sasa watachepuka na nini kama sio mke au mwanamke wa mtu? Msitutishe wakuu
Hilo ni fundisho kwa wengine
hahah hamna bana kujitetea muhimu..huyo dada ingebidi apambane na yeye si ajabu alitulia haya ona sura ilivyobomolewa kama imepitiwa na greda.. chaaaaaMpaka naogopa kuku quote
Asante!teh kabla hajanichuna hivo yeye atakua maiti..mume wa mtu anachata?
Kama wewe ni mwanasheria hebu kasome tena kitu kinaitwa fragento delicto (sic) ili ujue kufumania kwa ghafla na kujeruhi mbaya wako ni utetezi mzuri tu ktk kesi za jinai.Kwa vyovyote vile hii ni jinai na hamna namna yoyote ya kuhalalisha! Naona hii dhana potofu ya kwamba mume/mke wa mtu sumu inawafanya wengi kuunga mkono vitendo vya kijinai kama hivi. Huyo mwanamume ni mtu mzima na aliamua kwa hiari yake kukosa uaminifu kwa mwenzi wake wa ndoa! Yanapotokea mambo ya ukosefu wa uaminifu, tafadhali wekaneni sawa na wenzi wenu ambao ndio mlifunga maagano/kupeana ahadi za uaminifu! Kwenda kumshambulia "third party", sio sahihi!
Sure, mke hatari kama huyo hafai kuendelea kuishi nae hata dakika moja zaidi, ni jamii ya chinja chinja hivyo anaweza kukuchinja hata wewe mme usingizini.Kama una mke mwenye uthubutu wa kufanya hayo aliyofanya huyo... Achana nae kaa nae mbali kama ukoma
Huwezi jua wewe atakufanyaje.
Hata kama amepona, sidhani kama kuna mwanaume atajitolea kumpenda kimapenzi huyo bi mdada. Mapokezi yote yameharibiwa.Hata sijui nimeichota fesibuku nasikia eti alipona lakini ndio hivyo tena kama unavyomuona