Mme na Robot

Majirani wazua zogo mtaani.
ME. Lakini mama Len umeweka kweli?
KE.Baba Len nimewaka tena vizuri na kwa umakini
ME. Jamani mama Len haijaingia
KE.Lakini baba Len mimi nimeingiza mpaka nimeiona inaingia
Ubushi ukaendelea mara imeingia jamani imeingia kama utaki basi .Baba Len kaanza kutoa kipigo nasema haijaingia,haijaingia huku mwingine akisema jirani imeingia,jamani imeingia,imeingia msaada. Basi ikabidi tuingilie kati,kumbe ni vocha ya Tigo jamaa alikopa alafu akasahau kuwa ana deni na vocha iliingia.
 
teh te teh teh teh teh we mkare
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom