Mme na Robot | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mme na Robot

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Oct 31, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mke alipoona mme wake ameenda safari ya mbali akaamua atoke nje ya ndoa ili atulize hamu yake,akaamua kumleta mwanaume wake nyumbani,Siku moja usiku mme akarudi kutoka safarini na alipofika kwake akaanza kupanda ngazi kuelekea gorofa la pili ilipo chumba lake yeye na mkewe,akakuta kuna giza nene na hakuna umeme huku sauti nzito ikisema,''Bby shake ur body,ur so sweet'' mme akajua kwa yvoyvote anaibiwa,Akagonga mlango kwa hasira na mke alipofungua akashtuka sana kuona ni mmewe,mjadala ukaanza hivi.

  Mme:we mwanamke washa taa.
  mke;Taa zimeungua na mshumaa umeisha.
  Mme:nimesikia sauti nzito nani yupo ndani.
  Mke:unajua mme wangu we unasafari ya mara kwa mara hivyo nimeamua kununua robot ili niwe natuliza hamu yangu,yule ni robot,sijapenda
  nikusaliti wala sikupenda nitembee na jirani.
  Mme:Okey nakuamini,Mwenzako nina hamu sana naomba twende kitandani unipe mambo.
  Mke:Oh darling jana ilikuwa siku zangu kwahiyo hatuwezi tukafanya mapenzi labda nikuandalie maji ya kuoga,ukimaliza kuoga halafu ule.
  Mme:basi poa,ila leo nilivyo na hamu nadhani huyo robot nitamla tigo.
  Mke:teh teh poa,ngoja nikupelekee maji bafuni.
  Wakati mke ameenda kuandaa bafu,mme akaaenda kumwingilia robot kwa nyuma.,jamaa aliyejifanya robot akaanza kusema,''SYTEM ERROR! WRONG HOLE!SYTEM ERROR! WRONG HOLE!......Mme akasema kwa sauti"Kudadeki kama siwezi nikumege tigo lazima nikutupe
  nje kupitia dirishani,Jamaa alipoona kushushwa kutoka gorofa la pili ni ishu naye akajibu ''SOFTWARE UPDATED!,SOFTWARE UPDATED!
  YOU MAY TRY THE HOLE!YO MAY TRY THE HOLE!AGAIN I REPEAT TRY THE HOLE.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,185
  Trophy Points: 280
  hii imetokea kijijini Kamsamba, Mbozi mkoani Mbeya
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Ila huyo jamaa alikuwa anajifanya robot au alitumia ujanja mwingine
   
 4. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mbavu zangu mie jamani heh.! Eti SYTEM ERROR WRONG HOLE, MARA SOFTWARE UPDATED YOU MAY TRY THE HOLE, ubunifu bomba
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Robot ametisha
   
 6. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha dah..,jamaa kaliwa hivi hivi
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Jamaa kaliwa kijanja
   
 8. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahahaha.....iko pouwa
   
 9. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  mkuu excellent we ni mkali, mbavu zinauma.
   
 10. v

  valid statement JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  sikumbuki mara ya mwisho kucheka kama nlivocheka leo.
  Mkuu EXCELLENT!
  Ichi kituko ni EXCELLENT! Nimecheka saaaaaaaaaana.
   
 11. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Excellent....mjini shule!
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  MR.DRY ujanja mhimu mjini
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mkuu lazima ucheke,huku ni uwanja wangu wa nyumbani
   
 14. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mkuu nina nondo za ukweli ukiona excellent hutajuta kusoma post
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  thanks mkuu
   
 16. B

  Bayo Senior Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  balaaaa..
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii signature...

  siku haipiti bila kipya jf
   
 18. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbavu zanguology!
   
 19. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa kaliwa mduaraaa....
   
 20. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Mke wa mtu..sumu!
   
Loading...