asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Kuna masai alikutana na binti mzuri sana wa sura na umbo uzalendo ukamshinda akawa anamuuliza msichana eti we umesaliwa na mutu au imetengeneswa tu na mutu ikawa inasema apa mbado, hapa mbado alafu ikatokea hifyo...:lol::lol::lol::lol:
kwahiyo na wewe imetengeneswa siyo? hongera sana!Duuh!ni kweli masai washamba Mi mwenyewe nshawai kukutana nao wakanisumbua sana..
Duuh!ni kweli masai washamba Mi mwenyewe nshawai kukutana nao wakanisumbua sana..
twende zetu mwenzangu maana hapa hapatufai.Nimepita tu njia
Hata haichekeshi!