mmasai na msichana mzuri.

mmasai na msichana mzuri.

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
14,829
Reaction score
5,039
Kuna masai alikutana na binti mzuri sana wa sura na umbo uzalendo ukamshinda akawa anamuuliza msichana eti we umesaliwa na mutu au imetengeneswa tu na mutu ikawa inasema apa mbado, hapa mbado alafu ikatokea hifyo...
:lol::lol::lol::lol:
 
Duuh!ni kweli masai washamba Mi mwenyewe nshawai kukutana nao wakanisumbua sana..
 
hahahahaaaaa yerooooooooooooo subayi....takwenya....ikoooooo
Mi mmasai bwana nasema mi mmasai....
 
labda wale wa karne ya 19 wa karne hii ni noma
 
Back
Top Bottom