Rosweeter
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,172
- 4,435
Baada ya masai kupinga shitaka la wizi lililomkabili kwa nguvu zote, ulipofika wakati wa kujitetea mambo yalikuwa hivi:
Hakimu: Mshtakiwa una swali lolote kwa shahidi
Masai: Ndiyo bana Hakimu, ndugu shahidi kama uliniona naiba unawesa kuiambia mahakama nilikuwa nimefaa nguo rangi gani?
Shahidi: Ndiyo, ulivaa nguo ya bluu
Masai: Mekosea, nilikuwa mefaa nguo nyekundu