Mmasai bhana!

Mmasai bhana!

joo fill

Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
37
Reaction score
4
Kuna meli moja ilikuwa imebeba abiria wengi wa mataifa mbalimbali , wakiwa njiani meli ilizidiwa uzito ikabidi kila mmoja apunguze mizigo yake
Akaanza mzungu akatupa computer yake akasema kwetu ziko nyingi hizi , akafatia mchina akamwaga box lililojaa simu akasema kwetu zimejaa hizi
Ikafika zamu ya mmasai akawa anashaanga shanga asijue lakufanya baada ya kama ya dakika 2 akamtupa mwanaye akasema "sheeee kwetu kule longido{Arusha} iko nyingi sana"

Chezea masai www,,,,,@,,,,,.com.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom