Masai kaenda kanisani kaishia nje, PASTOR/MCHUNGAJI akauliza, "Yero mbona huingii unakaa NJE?" Masai akajibu "UNASANI MI MUJINGA? Si nasikia SIMBA wa YUDA iko ndani inaunguruma".