mmakonde

abunerimgaya

Member
Nov 13, 2012
78
15
Kuna mji mmoja walikuwa
wanawaua wamakonde kwa
sababu ya kuchafua lugha
wakawa wanamuuliza kila mtu
aseme neno then akikosea
wanamua wakamuuliza jamaa wa
kwanza,sema sahani jamaa
akasema chahani
wakamuua,jamaa wa pili
wakamwambia sema sinia jamaa
akasema chinia wakamuua,jamaa
wa tatu sema sabuni akasema
chabuni wakamuua, jamaa wa
nne sema samaki akasema
chamaki wakamuua ,jamaa wa
tano aliambiwa aseme sukari
jamaa akajifanya bubu akakaa
kimya ,wakajua kweli bubu
wakamwambia ondoka jamaa
akasema ACHANTE CHANA .nini
kilifuata..!?
 
Kuna mji mmoja walikuwa
wanawaua wamakonde kwa
sababu ya kuchafua lugha
wakawa wanamuuliza kila mtu
aseme neno then akikosea
wanamua wakamuuliza jamaa wa
kwanza,sema sahani jamaa
akasema chahani
wakamuua,jamaa wa pili
wakamwambia sema sinia jamaa
akasema chinia wakamuua,jamaa
wa tatu sema sabuni akasema
chabuni wakamuua, jamaa wa
nne sema samaki akasema
chamaki wakamuua ,jamaa wa
tano aliambiwa aseme sukari
jamaa akajifanya bubu akakaa
kimya ,wakajua kweli bubu
wakamwambia ondoka jamaa
akasema ACHANTE CHANA .nini
kilifuata..!?

inategemeana na ntu na ntu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom