Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 622
- 1,732
sawa ila sio BROCKENNikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono inatakiwa kumpa heshima yake.
Sasa huyu mjinga leo nimeangalia Interview yake akiwa Rwanda katikati ya mahojiano mtangazaji akatangaza kuwa sasa tunahamia katika lugha adhim ya Kiswahili!
Kumbuka Rwanda wengi au wote wanajaribu kujifunza Kiswahili na wanakipa heshima. Mashuleni wanajifunza Kiswahili na wakimpata Mswahili kwao ni furaha kwani wanafurahia.
Sasa ajabu ni kwamba alikua anaulizwa maswali kwa Kiswahili yeye anajibu kwa Brocken English yake ya Chitoholi. Nimekereka na sasa nimeamua nikumdharau huyu mshamba.
Bado ana wenge la kuachika kwa bi kizee na ushamba.Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono inatakiwa kumpa heshima yake.
Sasa huyu mjinga leo nimeangalia Interview yake akiwa Rwanda katikati ya mahojiano mtangazaji akatangaza kuwa sasa tunahamia katika lugha adhim ya Kiswahili!
Kumbuka Rwanda wengi au wote wanajaribu kujifunza Kiswahili na wanakipa heshima. Mashuleni wanajifunza Kiswahili na wakimpata Mswahili kwao ni furaha kwani wanafurahia.
Sasa ajabu ni kwamba alikua anaulizwa maswali kwa Kiswahili yeye anajibu kwa Brocken English yake ya Chitoholi. Nimekereka na sasa nimeamua nikumdharau huyu mshamba.
Nyani haoni.........sawa ila sio BROCKEN
Angejua watoto wa kitutsi wanavyopenda kiswahili angewazoa km kumbikumbi yani, kuna mdada mmoja wa huko alikuwa shosti yangu alinambia anapenda sana kiswahili na hasa neno 'nakupenda' likitamkwa na mwanaume wa kitz analowa kabisaaa[emoji23][emoji23]nilishangaa sana,
Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui😂Rwanda wanaongea lugha zifuatazo kinyarwanda, kifaransa, kiingereza na kiswahili na kiganda, sasa kwa sababu wana interaction sana na Tanzania walijikuta wengi wanaongea kiswahili tena ni lugha wanayoipenda hadi mashuleni wameenza kusomeshwa miaka mingi tu, tatizo la watanzania na wasanii wetu wengi elimu ya lugha hawana hivo codemixing and code switching kwao ni kawaida bila kufahamu wanaathiri maana ya mazungumzo, ukiamua kuongea kiingereza ongea chenyewe tu na ukiamua kuongea kiswahili tumia chenyewe tu ndio ustaarabu kwenye lugha,
Katika hilo watz tunakera sana ishu za kuchanganya lugha ktk maongezi, hii tabia siipendi kabisa labda kwa vile ung'eng'e siujui[emoji23]
Tena ukichsnganya hivyo ndo unaonekana mshamba haswaWengi hatuna ustaarabu katika mazungumzo ndio kinachotuathiri, ni kukosa uelewa tu na sababu kubwa ni kutaka kujifanya uonekane wewe unajua kumbe hakuna unalojua
Ahadi yako iliishia wapi?Angejua watoto wa kitutsi wanavyopenda kiswahili angewazoa km kumbikumbi yani, kuna mdada mmoja wa huko alikuwa shosti yangu alinambia anapenda sana kiswahili na hasa neno 'nakupenda' likitamkwa na mwanaume wa kitz analowa kabisaaa😂😂nilishangaa sana,
Ipi hiyo tena?Ahadi yako iliishia wapi?
Huenda alikuwa keshapiga cha chuga 🤣Sasa ajabu ni kwamba alikua anaulizwa maswali kwa Kiswahili yeye anajibu kwa Brocken English yake ya Chitoholi.