Ukweli hii ni safari ya pili rais anamwagiza IGP. Binafsi huo mlundikano umetengenezwa na jeshi la polisi kwa sababu zao kutokana na kuwabambikizia watu wengi kesi na kusababisha upelelezi kutokamilika hivyo kuwaachia polisi hao hao waumalize huo mlundikano ni vigumu sana.
Ushauri kwa Mh. Rais
Ni vema ukaunda tume huru itakayowajumuisha
- Majaji
- Wanasheria
- Viongozi wa dini
Wakapita ktk magereza ya nchi nzima kukutana na hao mahabusu na kuwasikiliza kisha ripoti ya hiyo tume ikawakilishwa kwako kwa utekelezaji.
Wananchi wanateseka sana magerezani
Sent from my SM-J600F using
JamiiForums mobile app