Mlokole na biashara

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
15,939
Reaction score
20,231
[/img]
ok ni sawa lakini kwa hapa ataishia kulala yeye na mkewe sie tutaenda guest nyingine pole yake.
 
Hii sio dawa, tunaweza kuchukua chumba tofauti kisha usiku tukanyatiana kama kawa, asubuhi tukiammka tunaamkia kila mtu chumba chake.
 
kaka unatafuta ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba haina madirisha.
 
Safi sana sharti hilo!kama kweli nchi yetu inataka kupunguza maambukizi ya ukimwi basi kila hotel,guest house zingekua na utaratibu huo!kama si mke au mme wako mnashirikiana vipi kitanda?nenda kariakoo hotel za wasomali kama al uruba na hotel za walutheri kama uhuru hostel moshi wanafuata utaratibu huo!big up one step ahead in fighting against aids!
 
hahahahhaaa! Very Good indeed!
Mila na wadumisha mila washindwe na walegee.
 
Hiyo si ajabu, kwa waliofika pemba kuna hotel maarufu ina itwa Pemba Highland,ina masharti kama hayo, hurusiwi kuingia hotelini mwanamke na mwanamme kama hamna vyeti vya ndoa, mwenyewe si mlokole ni mwislam haswa wa sala tano.
Nadhani ni katiaka kutaka kurejesha maadili mema ktk jamii..
 
Safi sana maana siku hizi kila guest ni za 'mauaji' hadi vyumba vinazoea harufu ya kinanihii nanihii tu.
 
wana ruhusu kushirikiana na si kushilikiana! hii nimeipenda imekaa poa sana!
 
Hii sio dawa, tunaweza kuchukua chumba tofauti kisha usiku tukanyatiana kama kawa, asubuhi tukiammka tunaamkia kila mtu chumba chake.

mkifanya hivyo, yeye kishanawa mikono, damu yenu haitadaiwa mikononi mwake mbele za Mungu siku ya hukumu. kwa taarifa yako, hizi guest ndo zina wateja hadi watu wanakosa kupata chumba, kuna watu wana heshima zao hawataki kulala guest zenye mashakamashaka,
 

Mbona vyeti vya ndoa havina picha, sasa wanalisimiaje hili?
 
Hapa ni MBEYA nn! nakumbuka nishawahi kukutana na hii sehem
 
Hii sio dawa, tunaweza kuchukua chumba tofauti kisha usiku tukanyatiana kama kawa, asubuhi tukiammka tunaamkia kila mtu chumba chake.

Mmmmmh, usiingie kwenye huko, nenda sehemu ingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…