Mlokole aliyeifedhehesha weekend yangu...

Nilipata shock Mzinga ..
iweje mlokole ategee mzee amefika na mida ya usifu apige simu eti kaoteshwa???
Ila nilimwambia mzee kama atapiga tena naomba uongee nae


USIPATE SHOCK TEEEENA...WAPO WALOKOLE FAKE....sana tu wakisingizia Roho rohooo huyo ni rohoo mtakavitu!
 

Pole sana
 
duuuuhh mlokole wa mwendo kasi huyo
 
Aisee walokole sisi sio wajinga kiivvo...ila wajinga wapo bila kujali ni mlokole au la......aiseee...halafu gia kakosea hayuko romantic..unaanzaje kuzungumzia mke mara kuonshew akwa simu...by the way mim mlokole ila siamini sana hiz mamboi za kuoneshwa naonaga kamab...sio kwa wote ila zipo wachaceh sana wenye roho na kweli wanapata maono..ila sio kuitumia hiyo gia kutongoza..hata kamamaono yapo unamfuat mtu kwa njioa zetu za kawaida ucheshi urafiki date etc ndio unamalizia..hiyo ya aliyekybeep ni boya kabisa...tena ana beep..ukipig hapokei duh hahaha......kazi ipo...sema nin usisemm mlokole sema tu jamaa
 

Mkuu kumbe wewe mlokole?
Heshima kwako mkuu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hilo ni pepo kabisa, kama umempenda mtu mwambie moja kwa moja sio kumsingizia Roho mtakatifu. Mimi ni mpentekoste nashauri vijana wapate mafundisho namna ya kutongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…