Pole sana my dia,kuna baadhi ya walokole huwa wana mambo ya ajabu sana,halafu wanalazimisha,halafu hayo
haya mambo ya kuonyeshewa mchumba mi siamini kabisa,utaonyeshewaje mchumba wakati una macho?
Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa,,
Mida ya saa mbili usiku naanda chakula mala simu inaita...naenda kupokea inakatika,
Ikaita tena ..Ile napokea napokelewa na salam ya bwana asifiwe
OOh nikaitikia kwa amani zote amina na wewe bwana asifiwe.
mala simu ikakatika .
mpendwa akaendelea sasa kubeep nikipiga hapokei ndipo nilipoamua kumtumia sms nikimwambia asinibeep.
Husband akasema piga.
Mlokole kapokea na sauti inatoka kila kona ya nyumba inasikika usiku
ooh nimefunga kwa muda wa week 3 nimeonyeshwa wewe ndo mke wangu mke mwema...najua hunijui sijui naitwa A.....
Naomba upokee maombi yangu...
Nikauliza simu yangu umetoa wapi..
Mlokole kanambia kaipata kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Nikamwambia lakini mpendwa mbona nimeolewa nina familia tayari huyo roho mtakatifu aliyekuongoza amekosea
Jaribu kufunga tena.
Mlokole akasema ooh ndoa huwa zinavunjika ...
Na yeye yuko tayari kusubiri ndoa yangu ivunjike ili aje kuleta posa..
Ni mtu gani wa kusubiri ndoa ya mwenzie ivunjike eti kaokoka????
Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono:
@Filipo atakuwa fisi maji kabisaHuyo atakuwa fisi!?
RR nimekutumia PM naomba ujitahidi kuondoa hiki kikombe mbele yanguBigirita[/FONT] unachezea nguvu za roho mtakavitu?
Pole FirstLady1 (halafu hebu nipe namba ya huyu jamaa nimuunganishe na dada mmoja anatafuta mme, hope tutaweza kumbadili mawzo huyo roho mtakavitu)
RR nimekutumia PM naomba ujitahidi kuondoa hiki kikombe mbele yangu
Taratibu Excellent FirstLady keshasema ana mtu halafu wewe unamwita "my dia" (dear kama sikosei)? Hivi mke wa mtu anaweza kuwa "my dear" wa mtu mwingine? Usije ukamfanya akadhani wewe ndiye yule mlokole ile umekuja kivingine!!!!
Hivi kina mama siku hizi
mmeacha kutumia ule msemo maarufu wa "Unikome kama ulivyokoma
kunyonya ziwa la mama yako?
Hahaha! umenikumbusha ngoja leo nikirudi nyumbani nikamwite "dia". Litakuwa surprise la nguvu na mimi sharti aniite "bebi" mambo ya uzee mwisho Chalinze.We tata nae bana unatibua ndoano za watu bhana!
Mwache excellent ajinoe bana!
Hahaaa! Kuna wakati unakaa mpaka mwaka mzima hujataja neno 'DEAR'! Kwenda kwa mtoto wa kike!
Hahaha! umenikumbusha ngoja leo nikirudi nyumbani nikamwite "dia". Litakuwa surprise la nguvu na mimi sharti aniite "bebi" mambo ya uzee mwisho Chalinze.
Hizi dini zingine ni vituko tu.