Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 829
kwa miaka nenda rudi, mtwara mmekuwa mkinufaika na rasilimali za alimasi ya mwadui, (kumbuka alimasi huchimbwa mwadui, na tan-cut almasi iko iringa), mmenufaika na dhahabu toka buzwagi, mmenufaika na fedha za utalii toka serengeti, na kila mkoa ulipopata gawio la taifa, mkoa haukukataa kuzipokea kwa kuwa zinatoka nje ya mkoa. Leo mtwara kuna gesi, basi mnaona gesi ni yenu, wakati mkinufaika na vya wenzenu, mliona vitamu. Poleni sana, gesi itatoka. Iwe kwa kheri au kwa shari. Na ninyi onjeni mrahaba wa 0.03%. Kidumu chama.
hopeless......na mtajua sifa ya mapinduzi kuanzia kusini!