Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
- Thread starter
- #21
Daah mkuu umenitoa chozi,nikikumbuka adha tuliyoipata mtwara inauma sana,nakumbuka nilipoenda fm 5 pale bagamoyo sec 2004 kuna dogo somebody shayo aliniuliza we mtu wa wapi nkamwambia mtwara daah aliniuliza tena "mtwara ndo wapi?" aisee niliumia sana.
nimetoka kutumikia ban leo ila bdo naendeleza harakati no matter what...enhee nimekumbuka mama salma ni wa kwetu wewe mlaze mzee kavu miez mi wili tu mwenyewe atachange mawazo yke kuhusu gas.
nimetoka kutumikia ban leo ila bdo naendeleza harakati no matter what...enhee nimekumbuka mama salma ni wa kwetu wewe mlaze mzee kavu miez mi wili tu mwenyewe atachange mawazo yke kuhusu gas.