Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Na kibano zaidi kinakuja Mkuu!Bado kuna ile Stiglers Gorge! Nayo sijui itakamilika lini? Bora tungeanza na kimoja kwanza baada ya kingine mpaka vyote vikamilike kwa utaratibu ambao hautaathiri watu/sekta nyingine kama ilivyo sasa.
Kinyume na hapo, basi Watumishi wa Umma tutaendelea kuumia na kudhulumiwa haki zetu kwa miaka mingine mitano ijayo. Maana sisi ndiyo punching bag la kwanza kabisa la magufuli.
Yani bora corona kuliko upinzani!!Tuliambiwa kwamba awamu ya kwanza ya SGR Dar es Salaam kwenda Morogoro, kupitia Pugu, Soga, Ruvu, na Ngerengere ujenzi wake ungekamilika mwaka jana November 2019.
Mkasema ooh, kuna handaki karibu na Morogoro inabidi lichimbwe limechelewasha kazi (yaani kama vile hamkujua kuwa kutakuwa na hilo handaki kwenye SGR), kisha mkasema mvua kubwa zimenyesha zimeondoa madaraja. February mwaka huu 2020 mkaahidi kipande cha Dar - Moro kingekamilika April 2020, na majaribio kufanyika kwa miezi mitatu hadi July/August 2020, na kufikia October 2020 tungekuwa tunasafiri kwa treni ya SGR kati ya Morogoro na Dar es Salaam.
Sasa imekuwaje tena, au safari hii kiangazi kimekuwa kikali kimechelewasha SGR? Blah blah za kisiasa nyingi hadi kwenye SGR. Hebu semeni ukweli basi, lini awamu ya kwanza ya SGR itaanza kutumika? Haya mambo ya kukurupuka na miradi mikubwa mingi kwa wakati mmoja matokeo ndio haya.
Source: Tanzania’s standard gauge railway (SGR) to undergo formal testing
Mkuu, sikupingi ila naomba ufafanue kuhusu mvua, maana mie najua mvua hutokana na mzunguko wa maji yatokayo chini kwenda juu.
Nachopinga kwenye hiyo kauli yako ni kuwa maji yaliyopo juu yapo katika mfumo wa mvuke, kwa tafsiri ya bible haiko hivyo.
Bible inasema maji haijazungumzia mfumo wa maji kama unavyoweka wewe.
Ukiendana na tafsiri hiyo utaona kuwa mfumo wa maji yaliyopo juu ya mbingu na chini ya mbingu ni ule ule.
Yani bora corona kuliko upinzani!!
Mwanzoni mliipinga SGR hamuitaki ni matumizi mabaya ya pesa
Leo unakuja na mada ya kulialia eti SGR inacheleweshwa
Cha msingi nyie endeleeni tu na mambo yenu mengine haya ya kwetu tuachieni
SGR ipo mbioni
Ufipa mnataka kujua maendeleo ya vitu na nyinyi mnahubiri maendeleo ya watu
Soon treni ya ukweli itaingia, na test trip zitaanza kabla ya uchaguzi.
Wameanza na ubungo nategemea SGR ianze soon kabla ya uchaguzi
Kwanza mie sio mpinzani. Pili hiyo sio SGR yenu kwa kuwa inajengwa na fedha za Watanzania. Au siku hizi hamjengi tena na fedha za ndani mnapewa fedha toka Chato?Yani bora corona kuliko upinzani!!
Mwanzoni mliipinga SGR hamuitaki ni matumizi mabaya ya pesa
Leo unakuja na mada ya kulialia eti SGR inacheleweshwa
Cha msingi nyie endeleeni tu na mambo yenu mengine haya ya kwetu tuachieni
SGR ipo mbioni
Blah blah blah! Nitaamini nitakapoiona, ila iwe mwaka huuSGR ipo mbioni
Ikitokea mbinguniSGR ipo mbioni
Nyie si mmekataa maendeleo ya vitu. Sasa mbona mnalilia SGR? Yaani magwanda hamuelewekiiiiiiiIkitokea mbinguni
waTZ Ni wabaguzi wao kwa wao kuliko hata kaburuNyie si mmekataa maendeleo ya vitu. Sasa mbona mnalilia SGR? Yaani magwanda hamuelewekiiiiiii
Mme ulizwa kwa nini nyie ni waongo waongoNyie si mmekataa maendeleo ya vitu. Sasa mbona mnalilia SGR? Yaani magwanda hamuelewekiiiiiii
Ewe ndugu mpinzani leo imekuaje hata unaulizia maendeleo ya vitu?Tuliambiwa kwamba awamu ya kwanza ya SGR Dar es Salaam kwenda Morogoro, kupitia Pugu, Soga, Ruvu, na Ngerengere ujenzi wake ungekamilika mwaka jana November 2019.