Inawezekana nadandia treni kwa mbele, sijakuelewa Sky!View attachment 987108
Na kuna size 10 siajabu jamaa aliwapiga chini.
Uzuri si sura wala umbo uzuri ni kauli ndiyo itamtuliza mume ndani.
Kimasomaso mwanangu msimuone maso.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiTumezoea kuona bibi harusi wembamba
Amana!Tumezoea kuona bibi harusi wembamba
Shost ametishaMabonge oyeeeView attachment 987127
Umekuwa Sheikh Kipozeo!Amana!
Lakini kweli. Ni nadra sana kushuhudia Bi arusi mnene, ila mie napenda bonges! Nashukuru kunijulisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa kipimio cha uzuri, kila mmoja anacho chake!!Tumezoea kuona bibi harusi wembamba
SanaShost ametisha
Chineke oooo! Kwangu ni:-Mabonge oyeeeView attachment 987127
historia kama ipi mkuu?Ukiona hivyo, ujue kuna historia imembana mtu
kuna vitu alishapewa/ kupata kutoka kwa mamaa, hivyo hana ujanjahistoria kama ipi mkuu?
alaa bas sawaaa mkuukuna vitu alishapewa/ kupata kutoka kwa mamaa, hivyo hana ujanja