Mlipuko wa ugonjwa usiofahamika mkoani Geita

Mlipuko wa ugonjwa usiofahamika mkoani Geita

1. Kuleni malimao na machungwa kwa wingi
2. Tumieni Detto kunawia
3. Kaeni maeneo yenye joto/jua inavyosemekana virusi vipya havienei sana kwenye joto
4. Epukeni kula vyakula visivyoiva hasa maziwa na nyama
5. Katika hali kama hiyo kamwe msile vibudu au mifugo yenye ugonjwa
6. Hamasishaneni kunawa mara kwa mara kwa kutumia maji na sabuni
7. Watu wanaopelekewa vituo vya afya waeleze homa ilivyowapata na maeneo waliyotembelea mara ya mwisho
8. Watu wanapokohoa/kupenga watumie karatasi/tissue wazitupe baada ya matumizi kuzuia kueneza ugonjwa
9. Watu waepuke kugusa pua macho na mdomo na kushikana mikono
10.Hakikisheni mamlaka husika kwenye maeneo yenu zinapata ujumbe huu
Hala hala msilianzishe Wajameni........
Bravo bravo.
Wewe jamaa ulikuwa unafahamu Corona vizuri toka kitambo sana.
 
Bravo bravo.
Wewe jamaa ulikuwa unafahamu Corona vizuri toka kitambo sana.
Baada yakuona nchi ya wababe imeomba poo nkaona hili dude sio la mchezomchezo, dawa ni kukomaa nalo mdogomdogo kwa kanuni za kawaida kabla halijatia kambi...............
 
Bravo bravo.
Wewe jamaa ulikuwa unafahamu Corona vizuri toka kitambo sana.
baadhi ya hizo kanuni zilikuwa WHO kwenye website yao kitambo sana, ila nyingine ni vya kuambiwa changanya na zako WHO hawajasema kabisa kuhusu matumizi ya Detto na Malimao(Vitamin C) matumizi ya tengawizi na vitunguu saumu tena ni kama wanapinga ..................lakini kuna kamsemo kanasema zakuambiwa changanya na zako ss pale kwenye kuchanganya na zako ndo zinakuja vitamin c, unywaji wa chai ya tengawizi nakadhalika nakadhalika.
 
Back
Top Bottom