Mlipuko wa ugonjwa usiofahamika mkoani Geita

Mkuu ni Hali ya hewa tu imebadilika,
Habari,

Nipo Geita kumekuwa na hali ambayo inatia shaka kidogo.

Kumekuwa na ka mlipuko ka ugonjwa ambao unatembelea kila familia na kila mtu.

Dalili kubwa ni homa...mafua na kikohozi.

Ukienda kupima unaambiwa ni malaria au UTI unapewa na dawa za kikohozi na mafua.

Ni takribani mwezi sasa hii hali nimeiona na familia yangu mwenyewe imetukumba.

Ni familia nyingi sana zimekumbwa na hii hali.

Nimejaribu kupita katk vituo vya afya (zahanati) wagonjwa ni wengi...shuleni nako ruhusa za wagonjwa ni nyingi sana

Kwenye maduka ya dawa mauzo yamepanda sana kutoka 20,000 kwa siku hadi 50,000-70,000 kwa siku.
Ila hakuna vifo vilivyo ripotiwa.

Naomba mamlaka husika iangalie hili swala isijekuwa tumevamiwa kirusi kipya.

Nimepokea ushauri wa kuweka location.

Wilaya ya geita
Kata ya Kaseme

Hiii kata ndio imeathirika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri husika yuko humu amekusikia

Nipo mwanza, mwanangu alipata dalili hizo. Wakampatia aluu na azythrocyne ila haki ikazidi kuwa mbaya. Wakambadilishia wakampa Artesun kwa malaria na centriazone zilimsaidia sana Sasa hv yupo vzr tu. Na mtaani hapa watoto wengi wanaugua mpaka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo mwanza, mwanangu alipata dalili hizo. Wakampatia aluu na azythrocyne ila haki ikazidi kuwa mbaya. Wakambadilishia wakampa Artesun kwa malaria na centriazone zilimsaidia sana Sasa hv yupo vzr tu. Na mtaani hapa watoto wengi wanaugua mpaka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi sasa hakuna taarifa rasmi kueleza hiki ni kitu gani
 
Au ndio jamaa anapita kwa style hii
 
Pia kusukutua kwa maji chumvi ya vuguvugu ni muhimu sababu inasemekana virusi hukaa kooni siku kadhaa
Ulaji wa Vitunguu saumu ni muhimu kipindi hiki sababu ni antibiotic ya asili
Maji ya limau pia ni tiba mzuri kwa aina ya magonjwa kama haya
Ugonjwa huu kama ilivyo magonjwa mengine yanayoshambulia mifumo ya upumuaji huleta athari zaidi kwa watu wenye umri mkubwa wa miaka 60+ (na pia mwenye kinga iliyo madhubuti anaweza asipate) , wenye magonjwa ya mda mrefu au kinga ya mwili iliyo dhaifu wapo hatarini pia kupata maambukizi

Ingawa walio katika umri chini ya miaka 60 wanaweza kupata maambukizi lakini wanaweza kuhimili changamoto za ugonjwa huu

Kwa kanuni hii basi ni vyema watu wakachukua tahadhari kuanzia nyumbani mafua makali bado yanatibika, muhimu kujichunguza unapohisi tofauti mwilini kama kuumwa koo, kukohoa na chafya za mara kwa mara

Ni vyema jamii ikapunguza hofu na wasiwasi uliopitiliza cha muhimu tu watu wajikite na hatua za tahadhari unapopanick sana unaweza kusahau kufanya kile kinachotakiwa kwa usahihi.

Kunawa mara kwa mara kwa maji na sabuni/sanitizer ndo uwe ustaarabu wa moja kwa moja
 
Habari,

Nipo Geita kumekuwa na hali ambayo inatia shaka kidogo.

Kumekuwa na ka mlipuko ka ugonjwa ambao unatembelea kila familia na kila mtu.

Dalili kubwa ni homa...mafua na kikohozi.

Ukienda kupima unaambiwa ni malaria au UTI unapewa na dawa za kikohozi na mafua.

Ni takribani mwezi sasa hii hali nimeiona na familia yangu mwenyewe imetukumba.

Ni familia nyingi sana zimekumbwa na hii hali.

Nimejaribu kupita katk vituo vya afya (zahanati) wagonjwa ni wengi...shuleni nako ruhusa za wagonjwa ni nyingi sana

Kwenye maduka ya dawa mauzo yamepanda sana kutoka 20,000 kwa siku hadi 50,000-70,000 kwa siku.
Ila hakuna vifo vilivyo ripotiwa.

Naomba mamlaka husika iangalie hili swala isijekuwa tumevamiwa kirusi kipya.

Nimepokea ushauri wa kuweka location.

Wilaya ya geita
Kata ya Kaseme

Hiii kata ndio imeathirika
Huu ndio ulikuwa mzigo wenyewe sasa
 
Naona hii hali wangepima.... takwimu za maambukizi zingezidi Marekani
 
Jikinge, wakinge na wengine, Corona Inazuilika. Ili kujua afya yako, tuma ujumbe mfupi kwenda *199#
 
Back
Top Bottom