Mlipuko wa mabomu Nairobi

mawazotu

Senior Member
Apr 27, 2010
151
79
There have been two bomb blasts in Nairobi, the death toll is not yet known
source: a friend in Nairobi Kenya
 
Haya ni mambo ya kawaida sana, Binaadamu kuua binaadamu mwenzake, kawaida saana
 
Nairobi-leo-May-28-2012.jpg Nairobi-May-28-2012-2.jpg
Hali ilikua hivi huko Nairobi mida ya saa 7 mchana wa leo!!
 
i have a lot of respect for all religions lakini i hate radical (Muslims/Christians) where some few individual will force other people into their believes , mimi nataka tueshimiane tu, kuhusu milipuko serekali ya Kenya imeshindwa kulinda raia wake coz this is not the first time milipuko inatokea katika jiji la Nairobi. 10th March 2012 , kuwajibika inakua ngumu and its even worse kwenye serekali ya umoja wa kitaifa coz hamna upinzani
 
Yametokea!

Wamerekani walitoa onyo au mafununu(kwa Kiswahili ya Kenya) mapema sana kwa mitu ya Kenya kuwa kutakuwa na shambulio la bomu wakti wowote na mahali popote. Mwai Kibaki na Raila Odinga wako buzy na makampeni ya Uchaguzi 2012. Kweli watawala wa Kiafrika siku zote wanawaza matumbo yao tu lakini hawafikirii usalama wa Raia wao. Hii ni aibu. Shame on you African leaders. You're too lazy to think!
 
Back
Top Bottom