i have a lot of respect for all religions lakini i hate radical (Muslims/Christians) where some few individual will force other people into their believes , mimi nataka tueshimiane tu, kuhusu milipuko serekali ya Kenya imeshindwa kulinda raia wake coz this is not the first time milipuko inatokea katika jiji la Nairobi. 10th March 2012 , kuwajibika inakua ngumu and its even worse kwenye serekali ya umoja wa kitaifa coz hamna upinzani
Wamerekani walitoa onyo au mafununu(kwa Kiswahili ya Kenya) mapema sana kwa mitu ya Kenya kuwa kutakuwa na shambulio la bomu wakti wowote na mahali popote. Mwai Kibaki na Raila Odinga wako buzy na makampeni ya Uchaguzi 2012. Kweli watawala wa Kiafrika siku zote wanawaza matumbo yao tu lakini hawafikirii usalama wa Raia wao. Hii ni aibu. Shame on you African leaders. You're too lazy to think!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.