Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Watu zaidi ya 25 wameuawa kutokana na mlipuko wa mabomu huko Maiduguri, Nigeria. Habari hii imeripotowa na vyombo mbali mbali vya habari. Polisi wanawashuku kundi la Boko Haram ndio waliofanya unyama huo.