Hapa hakuna urafiki wa kweli ndugu yangu.Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.
Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
Duh! Wewe nawe umo kwenye kundi la wanaolipwa ? Hakika walipaji wanapata hasara sana !
Utata wa Jaji Aloysius Mujulizi | Gazeti la JamhuriOfisi ya Raia wema imeshambuliwa .
Kumbe ni kisasi ?Walikua wakifurahia yaliyokua yanaendelea kibiti,wacha nao yawakute.Dawa ya moto ni moto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo haihalalishi unyama dhidi ya ubinadamu .Utata wa Jaji Aloysius Mujulizi | Gazeti la Jamhuri
Utamsoma pia kidomodomo wenu Lissu akiipondea hiyo IMMMA Advocates
Mbona hamkuwaulizia CCM wakati Lissu anawatetea wezi wa madini yetu.Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.
Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
Haijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.
Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
Samahani mkuu , uko nje ya topic .Ahhhh katika mazingira ya sasa. Unadhani nani ni Simple kuchoma hiyo Office. Chadema au CCM. Katika maisha ya CCM haiwezi kuwa na akili ya wazi hivyo. Afu ili iweje. Tukumbuke. Serikali jamani ina nguvu na uwezo. Wakati mawakili maprof. Wafanyabiashara. Wanauwa. Na watu wanaendesha boda boda. Haya maneno hayakuwepo. Kwa akili ya Lissu. Mi nahisi ndo angekuwa wa kwanza kuhisiwa. Mana anafaida ya cheap Popularity kuliko wengine. SIASA NI HATARI SANA. NYIE ENDELEENI kushabikia ujinga ujinga badala ya Kusaka. Noti. Tangu JPM aingie madarakani. Wengi mpo online kuliko zamani na pumba zenu. Sasa sijui Mnahitaji Rais akuambie kidogo kidogo hujaza kibaba.
Pamoja na kwamba uko nje ya mada lakini ningependa kukusaidia jambo dogo tu , kwamba wakati mnaingia hiyo mikataba chini ya mtutu wa bunduki , Lissu alikuwa anapinga wananchi kuzikwa wakiwa hai ndani ya mashimo ili kupisha wawekezaji , hawa mnaowaita leo wezi .Mbona hamkuwaulizia CCM wakati Lissu anawatetea wezi wa madini yetu.
Wale makada CCM kule kibiti walipokua wanauwawa kwa kupigwa risasa chama cha CHADEMA kilitoa tamko gani?,hebu tuanzie hapo kwanzaHaijafahamika kama bado ni mapema ama labda hawajaguswa na lolote katika yaliyotokea.
Si Polepole wala Mangula aliyejitokeza kutoa pole mpaka muda huu.
Tayari CUF kupitia kwa Mh Mbalala Maharagande na CHADEMA kupitia kwa mkuu wa Itifaki JOHN MREMA wamekwishatoa Tamko kuhusu unyama huo.
Mytake, Urafiki wa kweli ni katika dhiki na faraja.
Wapi tuliposema hivyo ?Tatizo CDM mnaona TLS ni kama jumuiya ya chama. Kama Bavicha.