Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

Status
Not open for further replies.
we jamaa vipi kwani hii siyo media...! we naye usalama nini? kama usalama na hujui hiki ni chombo cha habari basi htufai ndiyo maana tunapigwa maaana tunajua mpo ila hamfanyi kazi zenu zaidi ya kudeal ya chm!
Hii thread imewekwa kwenye jukwaa la siasa ndo mana watu wanaihusisha na siasa..tuweke imani na usalama wa taifa watakuja na jibu kamili. Tega sikio kwenye vya habari unavyo viamini
 
Ni upuuzi kumkashfu aliyeleta hii thread na yeye ameitoa kama breaking news sasa kama unataka kuijua ndo wapo wengine watakaochangia ili wewe uelewe vizuri na unapomhoji kwamba ni nani aliyehusika unatudhihirishia kwamba wewe ni kilaza na usipende kuingiza siasa kwenye mambo kama haya usiweke siasa kwenye roho za watu
 
Mturishie hotuba ya Lema hapo mlio kwenye tukio naona radio Maria wamekatisha matangazo dah!!!!!
 
@MoD Mnaangalia mtu ana anzisha thread ya kuwalaumu Waislamu utafikiri ana uhakika.Kwa heshima ya JF NAOMBA HII THREAD IFUTWE.

MI NAFIKIRI HII COMMENT YAKO NDIYO INAYOHITAJI KUFUTWA!Tuache unafiki na udhaifu na udini wa serikali yenu ndo umetufikisha hapa!Soma comment ya Ulukolokwitanga hapo juu!
 
Mh. Lema ameingia eneo la tukio na kupokelewa kwa furaha na wana Arusha. Anatoa nasaha kali. Na bahati mbaya Radio maria imekatisha hotuba yake. Nadhani wamehisi moto mkali kwenye hotuba yake.

Sio moto wa hotuba, bali wameona ni upuuzi kuingiza siasa kila sehemu.
 
Hapa Lema kaharibu tena. Naona Radio Maria wameamua kumkatisha. Huyu Lema naye wakati mwingine ni kichwa maji sana. Yaani kwenye tukio kama hili analeta hoja za UCCM? Anataka kuwapandisha hasira waliopo hapo kwenye tukio au anataka nini? Ni kweli watu tunampenda Lema ila kusema ukweli wakati mwingine uwezo wake wa kuchambua mambo ni ziro kabisa.
Lema ni janga la taifa.
Hhana busara hata kidogo, anapenda misifa kama mtoto wa shule za chekechea.
Nilijua tu ataongea pumba na kutafuta sifa.
Na inawezekana hata akawa anajua mengi na huo mlipuko kwa sababu kwa nini atumie hiyo nafasi kuanza kuongelea kukamatwa kwake?
 
Kwani kasema nini mpaka wakate

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Katika hili gaidi shehe ilunga asipokamatwa! Itaamini maneno ya lema dhidi ya jk
 
Hajakamatwa mtu?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tunakoelekea TZ ni kulazimishwa kupiga kura kwa misingi ya dini zetu
 
Mara mapadri wanapigwa risasi, mara kuchinja, makanisa yanachomwa mara masheikhe wavamiwa, leo mlipuko kanisani kweli udini upo. Sasa tumtafute nani kauleta na kwa makusudi gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom