Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

Status
Not open for further replies.
Kwani kasema nini mpaka wakate

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Leo Lema kachemka, sikutegemea angekuwa na jazba kiasi hicho. Huwezi ukatoa conclusion kirahisi kiasi hicho kwenye public.
 
Habari ya kustua na natoa pole kwa wote walioathirika. Lakini kuna haja ya wote kwa pamoja kuwa very careful na kutoanza kupoint any fingers. Hilo la watu kufika kanisani, wakiwa wamevalia KANZU, to me reads like a "false flag" operation. Mara zote gaidi hujaribu kujidisguise na kujichanganya na wale anaolenga kuwafanyia ugaidi wake, ili asitiliwe shaka kabisa. Sasa hii ya kujitokeza na KANZU kanisani, kwenye ibada, tena mchana kweupe inatia shaka na nia hasa ya hao "magaidi".

inawezekana Kabisa ni rogue elements(pengine foreign) zenye lengo la kuleta machafuko hapa nchini hasa baada ya kusoma alama za nyakati na kugundua religious tensions ziko high kuliko time ingine, nao wakaamua kutake maximum advantage ya hali hii.

Watanzania wenzangu tuzidi kushikamana kama Taifa.

I like ur point....
 
wiki tatu zilizopita nilisikia tape mtaani kuhusu kutafuta pepo kwa kupunguza makafir! niliskitika sana coz tumesoma wote na kula wote miaka yote..why all this hate?

ndio mkuu pepo na mabikira 72 kazi kuwapata
 
Siku nyingine ya majonzi ....tunawapa pole waathirika wa tukio hili,
as usual vyombo vyetu vya habari vya kitaifa wameshindwa kutupa habari za tukio hili.
 
Hali inakuwa tete katika nchi yetu Kanisani Parokia ya Olasit kumetokea mlipuko haijajulikana kama ni bomu au la ila watu wamejruhiwa inasikitisha.

Source: Radio Maria

======

tanzania kwa sasa sio mahali salama pa kuishi tena..... doo nchi yangu tanzania tunaipeleka wapi..mungu tuepushe na balaa hili na majaribu kama haya
 
BAADA YA KUJA UIS?LAM NA UKRISTO -- SIKU HIZI HAKUNA : wapare, wamakua, wahaya, wasukuma nk. - - - NA VIPI UKIJA KUSIKIA KWAMBA CHANZO CHA MLIPUKO NI HITILAFU TU YA UMEME? ..... #MDINI - Ni yule anayeanza kuuzungumzia.... shame on You
Kwa habari zilizopo ni kwamba mtu aliyerusha 'hilo bomu' ameshakamatwa na yupo kituo kikuu cha polisi Arusha(from kamanda wa polisi-Arusha).Sijui na hiyo unasemaje?au inawezekana ni coincident tu?kwamba amerusha alichorusha na hitilafu ya umeme ikatokea hapohapo
 
Mpaka 2015 Ifike mengi tutashuhudia...

We a n u s kweli sasa ulitaka asiseme jinsi walivyotumia nguvu kubwa kumkamata wakati masuala kama haya serikali inafanya uchunguzi taratibu kama mwendo wa kinyonga mpaka Pengo awaseme kama tukio la kuuawa kwa Padri Mushi.
 
Hivi Lema anatafuta sifa ili iweje?
Mimi naanza kuwa na wasi wasi na akili ya huyu bwana.
Masuala kama haya inabidi mtu uchunge kauli yako na sio kuweka petroli kwenye moto
Kukamatwa kwake na bomu la leo kunahusiana n nini?

Mkuu Lukosi,si kwamba Lema anatafuta sifa Lema anachoongea ndiyo hicho siasa za udini zilizopandikizwa na ccm haya ndo matokeo yake kikwete ndo kasababisha yeye ndiye muasisi wa udini nchi hii kwenda kuomba kura misikitini na sasa wakristu ndo tunapata shida hiii.......Lema anaongea ukweli tu.....
 
Mbegu ya udini inazidi kuchipua,haiitaji vikao vya dini ikulu kulimaliza ili bali dhamira ya dhati kuweza kuondoa mbegu hii
 
nchi imeshagawanyika..i ll vote kwa mrengo wa kidini sasa.

Sio suruhisho hapo ndo kujikaanga kabisaa hata hivyo ni hisia tu kuwa watu wanachukiana lakini huku mitaani tuko poa kabisa.lazima kuna jambo huko juu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Speech ya LEMA vs Mkuu wa mkoa

==hakuna jambazi anaweza akaja kutupa bomu kanisani
==polisi watafanya bidiii sana kumtafuta mhusika kwa nguvu ka walivyomkamata usikuuuu ule

hhaaaaaaa, wamemkatia maongezi
lazima wamkatie kama anaongea -----,yeye anataka kulitumia tukio kisiasa.
 
hahaahah Matangazo ya Redio Maria kuna mtu ameyahujumu wanasema wakati Bwana Mdogo Lema akipasuka eneo la tukio!
 
Radio Maria wameomba radhi kukatisha hotuba ya Lema.Wamesema ilikuwa ni hitilafu.
 
Mh. Lema ameingia eneo la tukio na kupokelewa kwa furaha na wana Arusha. Anatoa nasaha kali. Na bahati mbaya Radio maria imekatisha hotuba yake. Nadhani wamehisi moto mkali kwenye hotuba yake.

Mtu asiyejulikana alikwenda kuzima switch ya matangazo wakati Lema anaichana CCM

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ni miongoni mwa wale walo muuwa mushi na kufanya hujuma hizi kisiasa kule zanzibar na kuviita vitendo vya kigaidi,sasa wataleta FBI arusha, kiufupi tizameni jinsi mkowa wa arusha ulivyo kuwa na vugu vugu ya kisiasa sasa wanataka kugeuza kibao watu waanze kushughulishwa ili ccm wajipange kiuchaguzi

mimi siamini ya kuwa waisilamu wa tanzania wakaripuwe kanisa au kutega bomu hili haliingii akilkini sababu waisilamu na wakristu wanakaa sokoni pamoja wanacheka na kufurahi pamoja viwanja vya mpira baa na kila sehemu yenye mchangavyiko wa watuuuu WATU WAWE MAKINI

AKILI INAHITAJIKA

katika hili tuweke unafiki pembeni....
Kwanza nikuulize unamjua SHEIKH ILUNGA wewe!?? Umeona video zake!??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom