Mlipuko jijini Dodoma

Mlipuko jijini Dodoma

Kichaa wewe, mseme mnataka sadaka mchangiwe hata humu. Mzungu alituharibu sana ngozi nyeusi kutuletea dini nazo zikatupumbaza
Hao Wasabato huwa hawaombi hata shilingi kwenye mikutano yao,si kama hao uliowazoea,pia yanarushwa kwenye TV,wala hutaona maandishi ya kuomba mchango.Kuwa na amani.
 
Ee, MUNGU WABARIKI WOTE WALIO TUKANA SIKU WAKIJUA UMUIHIM WA NENO LAKO WAKUTUMIKIE LAKIPIA UKIONA INAFAA SANA SHUKA KATIKA MAISHA YAO NA WAKAONE UWEZO WAKO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom