Mlipuko jijini Dodoma

Mtoa post ungekuwa karibu yangu ningekunasa KOFI..!! Lakini sawa tu mungu anakuona.
 
Nikuwa hapo Bank of Afrika muda wa saa tatu na ushehee nikasikia sauti kama milipuko ya mabomu nilitaka kutoka nduki
Kumbe wasabato wapo kwenye ibada
 
Daaaaah we ni kiboko aisee.

Nimekuja kwa shangwe kuu nikijua wajomba zake Karia wameshafanya yao pale mjengoni. Hakika ingekuwa hivyo ningetoa sadaka ya kuteketeza
 
....Unadhalilisha dini yako! Kwani ungesema 'Mkutano Mkubwa wa Injili' unaona usingepata watu wa kusoma Bandiko lako??
Haya umetupata sasa! Sasa???
 
Utapeli wa mgongo wa dini waingia DDM!
 
ungeandika wizi mkubwa Doujinga wapelekee hukohuko ujingani waambie wenzio tushachoka blunder zenu mara kuchoma watu moto mara vilema mara kifo ni WIZI MYUPU RUBISH
 
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Mwandishi unakimbizwa ama hyo heading vip ww unamatatizo aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…