Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,399
- 24,666
mimi nadhani walinipiga faini coz walinambia nitoe mahari ni muoe huyo mwanamke nkawapiga chenga ndo wakaona wqnipige hela kupitia mtotoHa ha ha ha ha, hii kitu ilinitokea pia mkuu ingawa wewe walikupiga parefu sana. Huyo mtoto mwisho wa siku atakuja kuwa msaada kwa familia zote mbili sijui kwa nini wanapenda kuweka fine kubwa hivyo.