Mlipata wapi ujasiri wa kulipa mahari??

Mlipata wapi ujasiri wa kulipa mahari??

Kwahiyo hela yako inathamani zaidi kushinda huyo mwanamke! Kulipa mahali ni heshima tu na sio kitu kingine.

mbona watu wanalipia malaya hela ndio wanapata utamu tena kwausiku mmoja tu kina shindikana nn sasa hapo kutoa mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama wamwambie mtoto kwamba baba yako alikufa kwenye tukio la kukanyaga mafuta hiyo haitaondoa ubaba wangu,wakae nae kabisa wamlee na kumlisha sumu lakini still mimi ni baba yake na haitokaa ibadilike.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weee vipi? Baba wa kutoka wapi? Hata jina anaitwa la ujombani! mpaka akue aanze kujitambua kalelewa ujombani ndo akikua akutambue wewe? Ubaba unatokana na kujishughurisha katika makuzi, malezi, na mahitaji ya mtoto mbali ya hapo huyo sio wako!
 
Unamtolea mahari mtu anayejiheshimu, ana subra, msikivu na mstahimilivu. Utamtoleaje mahari mtu ambaye yuko ovyo hana hizo tabia?. Hao uliowapata hawakuwa sahihi, walikuumiza ndy mana hukuona umuhimu ila siku ukimpt mtu sahihi ndy utajua ukatoe au lah. Watu sahihi wapo mkuu.
Hao wenye sifa hizo wapo wapi mkuu
 
Kwahiyo hela yako inathamani zaidi kushinda huyo mwanamke! Kulipa mahali ni heshima tu na sio kitu kingine.

mbona watu wanalipia malaya hela ndio wanapata utamu tena kwausiku mmoja tu kina shindikana nn sasa hapo kutoa mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua ukitoka mahari unakuwa na mzigo Fulani ndugu zako WA karibu uliowapotezeq mda WA kwenda ukweni mda na ishu zingine
 
Unamtolea mahari mtu anayejiheshimu, ana subra, msikivu na mstahimilivu. Utamtoleaje mahari mtu ambaye yuko ovyo hana hizo tabia?. Hao uliowapata hawakuwa sahihi, walikuumiza ndy mana hukuona umuhimu ila siku ukimpt mtu sahihi ndy utajua ukatoe au lah. Watu sahihi wapo mkuu.
Na baadhi wana ponzwa na wasio na subra..
 
mimi hilo jambo limenitokea, yani nilimnunua mtoto wangu kwa sh. 7ooooo. ndo nikapewa mtoto ila tayari mtoto alikuwa ameshatimiza miaka 3½
Ha ha ha ha ha, hii kitu ilinitokea pia mkuu ingawa wewe walikupiga parefu sana. Huyo mtoto mwisho wa siku atakuja kuwa msaada kwa familia zote mbili sijui kwa nini wanapenda kuweka fine kubwa hivyo.
 
Back
Top Bottom