Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,038
- 22,584
What kind of problem are you having?
bwana awe nanyi
Huyo jamaa noma sana namjua alikua akinya anajaza choo tena kipindi kile vya shimo ilikua noma
mbona mimacho imekutoka hvyo jamaa mwenyewe huyu hapa usije ukaumwa macho bureee
Macho yangu yanachagua vitu vya kuona nini?!!!
acha uongo miaka ya 90 makazi ya watu Dar yalikuwa yanaishia maeneo ya kipawa, mwisho wa rami nk kulikuwa kumejaa ngedere tu!Mchizi alikuwa anacheza mabreka hatari, tulikuwa tunapoa nae mitaa ya Gongo La Mboto mwisho wa Lami
Macho yangu yanachagua vitu vya kuona nini?!!!
Yaani nimecheka maana hata mm sioni kitu
Mkuu umeweka nini mbona sioni kitu.
Yuko wapi?
mnh, sijaelewa hapa
hahaha! jamaa kasema 'kwa waliozaliwa mjini tu'. sasa nyie mlozaliwa hukooo hamuwezi ona.